Hans Poppe acha uongo

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
kwa utaalamu wangu picha anaedai amis tambwe kuwa alimpiga kibao beki katili ni uongo.kwanza angalia mikono ya tambwe mkono mmoja hauonekani pili wapo sambamba hicho kibao atampigaje beki katili kwa kuwa tambwe anawadai ni bora mumlipi kuliko kutuletea washabiki uongo wewr ni shabiki wa yanga simba toka lini
 

Anadhani wote ni mambumbumbu fc. Video ya mechi ipo hivyo hakuna haja ya kuzusha tuhuma za kijinga.
 
Hivi huyu hans popo si ndo yule aliyefungwa kwa uhaini au siyo?
 
haswaa ndiye

Huko mikia yaani wote majambazi tu! mara mwingine kateka gari la shaba, mara huyu anataka kupindua nchi ya nyerere,mwingine kaiba magodoro hotelini.... yaani majambazi tuuuuu!!!
 
Mkuu Ungeweka hiyo picha. ingekuwa vyema kila mtu akaweza kuchambua. Sikupenda maelezo ya popo kwanii ilikuwa kama ananchongea Tambwe. Inaonyesha kama bado kuna kisasi kwa mtu amhaye walishaamua kumuacha.

Lakini katika madai mengine ya POPO, anasema Yanga (Wapenzi) mwaka jana walimtunza pesa beki katili kwa kumchezea kindava Tambwe, anasema hakuna watu wala gazeti lililoandika swala hili kwakiwango hicho. Na anasema ni kwa sababu tu Yanga wamezoea kulialia. Je kuna ukweli katik Hili
 
Anadhani wote ni mambumbumbu fc. Video ya mechi ipo hivyo hakuna haja ya kuzusha tuhuma za kijinga.

Mkuu "video ya mechi" haioneshi matukio yote ya uwanjani, maana ruvu wanaweza kuwa wanashambulia kamera zote zitakuwa langoni kwa kandambili huku langoni kwa ruvu "beki katili" george michael anapigwa vibao na tambwe.
 

Sawa "mtalamu" wakimataifa uliyebobea katika uchunguzi wa picha tumekusikia.
 
Last edited by a moderator:
Kama umeangalia mechi vzr tambwe alianza mpiga mtama beki kama unakumbuka ktk tukio ambalo msuva alikuja kosa goli la wazi kwa kupaisha mpira yeye na kipa beki akiwa ameanguka chini anajiuguza wachezaj wa ruvu wakazani yanga watapigiwa filimbi ya kuotea beki akiwa chini msuva akapasiwa mpira yeye na kipa akapaisha kabla ya tukio hilo tambwe katoka mtia ngwara bek wa ruvu
 
Mkuu "video ya mechi" haioneshi matukio yote ya uwanjani, maana ruvu wanaweza kuwa wanashambulia kamera zote zitakuwa langoni kwa kandambili huku langoni kwa ruvu "beki katili" george michael anapigwa vibao na tambwe.

Yap, Rage alinena vema juu yenu ninyi mambumbumbu.
 
Akipoulizwa kuhusu tambwe ooh tambwe nae alifanyafujo watu awaongeleii,,akaulizwa mbona kunamatokeo simba wamefanyafujo kwa azam akadaiii hilo unasema we wee,anyway twendembele wachezajiwote wanatakiwa kukindwa akunamaarufu wakati wanatumia nyasihizohixo, tff wekeni seminakwa marefa kablahali aijawa tete Kamanda
 
mmmh!!hapo itabidi tuongeze kanuni zinazoendesha mashindano...na mchezaji maarufu maana yake nini...kwa vigezo vipi!!
 

...anyway! "twende hivyo hivyo! nchi yenyewe imeisha haribiwa na JK"

NB: " Daktari amesema, moyo wa mshambuliaji Emmanuel Okwi ulisimama kwa sekunde kadhaa alipogongwa kisogoni na beki Aggrey Morris wa Azam FC"
 
mmmh!!hapo itabidi tuongeze kanuni zinazoendesha mashindano...na mchezaji maarufu maana yake nini...kwa vigezo vipi!!
maarufu kama okwi akatoa mifano yaronaldo namessi hatakwenye mechi marefawanakuwanao makini loh msijemuumiza ngasa wetumkasema ajawamaaarufu bado
 
...anyway! "twende hivyo hivyo! Nchi yenyewe imeisha haribiwa na jk"

nb: " daktari amesema, moyo wa mshambuliaji emmanuel okwi ulisimama kwa sekunde kadhaa alipogongwa kisogoni na beki aggrey morris wa azam fc"
mkuu kbm umemsikia vibaya akusema alipomgonga,nanukuu walipogongana,,,tunasema haya kwamanufaa yawatanzania wacha smphne namamboyake
 
Hivi refa anamlindaje mchezaji?hebu nielimisheni wana JF.Maana kama ni rafu ikifanyika ye kazi yake si anaijua?
 
mkuu kbm umemsikia vibaya akusema alipomgonga,nanukuu walipogongana,,,tunasema haya kwamanufaa yawatanzania wacha smphne namamboyake
Kwenye picha za video kiwiko kimeonekana kabisa na jinsi alivyokipeleka inaonekana ilikuwa ni makusudi kabisa, labda ninachoweza kusema ni kwamba Aggrey hakukusudia baada ya kiwiko atazimia lakini kumpiga kiwiko ilikuwa ni makusudi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…