Hans Pope ampiga kijembe Manji

Hans Pope ampiga kijembe Manji

Waende wapi weupe wa sheria za soka hawa,wehu hawa,kule kwetu Ntwara kuchele tunawaita hawa ni 'mapungu' yaani vichaa

Haha.. Huwa nikiikumbuka ile press conference ya wanasheria wa kandambili wakimchimba mkwara Okwi, huwa nabaki nacheka.
 
Hii imetokea leo wakati, Jonas Mkude akisaini mkataba wa miaka 2 mbele ya waandishi wa habari wa kuitumikia Simba Sc.
Namnukuu,
"Baada ya sisi kumsaini Okwi, Manji alisema anaweza kusajili wachezaji wote wa Simba na akawaweka Coco Beach. Sasa hiyo kauli ndiyo imemkosesha Mkude kwa sababu yeye [Mkude] hakutaka kwenda mchangani, bali alitaka kucheza mpira uwanjani"

Hahaha Hans Pope utampenda kwa mbwembwe
 
Simba hamna hela ya kumsajili Msuva kutoka yanga labda timu yote ya simba iwe chini ya yanga,,,,
 
ushindani wa soka la bongo ni midomoni na magazetini, uwanjani ni 0.
 
"Kule Yanga kuna kijana wetu Msuva, tunawapelekea Yanga barua ya kutaka kumsajili. Tunajua ana mkataba, watatupa masharti na sisi tupo tayari kuyatekeleza na tutamsajili" Zacharia Hans Pope.


Kwa kweli hii kauli sijailewa kama imetolewa kwa bahati mbaya au kuna ujumbe mzito ndani yake!!!!!
 
Tangu nizaliwe Sijawah sikia simba imeipiga yanga kwenye usajiri,labda yanga iwe haimuitaji huyo mchezaji eg okwi

Umezaliwa lini? Hebu fanya utafiti tena, vuta kumbukumbu vzr. Hizi timu huwa zinatesa na kutesana kwa zamu
 
Kwa kweli hii kauli sijailewa kama imetolewa kwa bahati mbaya au kuna ujumbe mzito ndani yake!!!!!

Si bahati mbaya, na leo barua ya kuonesha nia ya kumsajili kijana "wetu" msuva itatua katka meza ya Manji.
 
Aende Msimbazi akacheze kombe la MBUZI!

Siku zote mshindi wa kumnyang'anya mwenzie mchezaji akiamua ni Yanga. Yondani, Twite nk. Huyo Mkude Yanga haikuamua tu. Muda huu Simba wangekuwa TFF kufungua mashitaka. Okwi karudi Simba kwa kuwa Yanga waliona hana msaada kwa timu.
 
Tangu nizaliwe Sijawah sikia simba imeipiga yanga kwenye usajiri,labda yanga iwe haimuitaji huyo mchezaji eg okwi

masatu na marsha walikua njiani kwenda jangwani kutokea pamba na advance walishavuta ya gulamali bt from nowhere Azim dewji akawabeba msimbazi
 
Simba ikimchukua msuva natembea mbagara mpaka mwenge huku nakunya
 
mjiulize wakati okwi anakwenda simba tulikuwa na wachezaji wangapi wa kigeni.tulikuwa hatumuitaji kwa kwa kweli
 
Na kweli Real ya Kijitonyama hivi Kavumbangu na Domaya walichukuliwa na nani kutoka wapi?Mashabiki maandazi bwana.Real my foot.

kwani real madrid haiondokewi na wachezaji..wapi ozil,di maria,higuain..
 
Haha.. Huwa nikiikumbuka ile press conference ya wanasheria wa kandambili wakimchimba mkwara Okwi, huwa nabaki nacheka.


hahaaaaa.halafu cheki sasa hivi walivyolichunia suala la huyo OKWI baada ya kujiona wao ni MAMBUMBUMBU,hawa ni wehu Mkuu,wakiongozwa na TEJA MANJINO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom