Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Simba ikimchukua msuva natembea mbagara mpaka mwenge huku nakunya
We bata kunya kunya ovyo??
Simba ikimchukua msuva natembea mbagara mpaka mwenge huku nakunya
Tangu nizaliwe Sijawah sikia simba imeipiga yanga kwenye usajiri,labda yanga iwe haimuitaji huyo mchezaji eg okwi
huna nauli unatafuta kisingizioSimba ikimchukua msuva natembea mbagara mpaka mwenge huku nakunya
Simba hamna hela ya kumsajili Msuva kutoka yanga labda timu yote ya simba iwe chini ya yanga,,,,
Yanga haina rekodi ya kuuza mchezaji. Msuva alipojitambua atafia hapo hapo. Amuulize Tegete[/]
hivi tegete bado anacheza mpira??!!!
Yanga haina rekodi ya kuuza mchezaji. Msuva alipojitambua atafia hapo hapo. Amuulize Tegete