sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hii imetokea leo wakati, Jonas Mkude akisaini mkataba wa miaka 2 mbele ya waandishi wa habari wa kuitumikia Simba Sc.
Namnukuu,
"Baada ya sisi kumsaini Okwi, Manji alisema anaweza kusajili wachezaji wote wa Simba na akawaweka Coco Beach. Sasa hiyo kauli ndiyo imemkosesha Mkude kwa sababu yeye [Mkude] hakutaka kwenda mchangani, bali alitaka kucheza mpira uwanjani"