Hanitaki ila nikisikia hamu nimtafute...

Hanitaki ila nikisikia hamu nimtafute...

ulitaka akujibu vipi hili ufurahi? halafu wewe ni product ya UDSM kweli? kama ni hivyo hii University imeshapoteza mwelekeo na hasa ukizingatia walimu wenyewe ndio maboya kama Kitila Mkumbo.

huenda kijana hakusoma hata course moja ya huyo mwalimu. uboya wa mleta mada tu mkuu!
sio wote wanaokuwepo UDSM huwa ni wanafunzi. wengine hufuata ratiba na kalenda ya chuo na kupata shahada yake.
 
Wakuu naombeni ushauri jamani,nipo ktk mikakati ya kumtafuta msichana ambaye baadaye atakuja kuwa mke....
Kuna msichana ambaye tulisoma woote huko kilimanjaro na alikuwa dem wangu kipindi hiko ila nilipomaliza form 4 nilimuacha anaendelea na shule,me nkaenda mbeya form 5 na 6..baadaye udsm hatukuonana mpk nimemaliza chuo kama miaka 7 imepita,juzi juzi nkapata kazi Arusha na yeye kwao ni Arusha basi tukakuta tukaongea mengi sana ila mwenzangu tyr alikuwa kashapata mtoto ila me nkaona haina shida..tukafanya yeetu ila nikamueleza nataka awe wangu wa future naona mwenzangu akaniambia nitafute mtu mwengine anaogopa anaweza kunizingua then nkampa lawama...huyu msichana nampenda sana..na nilikubaliana na hali niliomkuta nayo coz muda mrefu hatujaonana!!!ila ndo ameniambia ivo na kama nikisikia hamu nae nimtafutee!!jamani nashindwa kuelewa naombeni ushauri wenu wakuu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Aseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom