Hanitaki ila nikisikia hamu nimtafute...

Hanitaki ila nikisikia hamu nimtafute...

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
30
Wakuu naombeni ushauri jamani,nipo ktk mikakati ya kumtafuta msichana ambaye baadaye atakuja kuwa mke....
Kuna msichana ambaye tulisoma woote huko kilimanjaro na alikuwa dem wangu kipindi hiko ila nilipomaliza form 4 nilimuacha anaendelea na shule,me nkaenda mbeya form 5 na 6..baadaye udsm hatukuonana mpk nimemaliza chuo kama miaka 7 imepita,juzi juzi nkapata kazi Arusha na yeye kwao ni Arusha basi tukakuta tukaongea mengi sana ila mwenzangu tyr alikuwa kashapata mtoto ila me nkaona haina shida..tukafanya yeetu ila nikamueleza nataka awe wangu wa future naona mwenzangu akaniambia nitafute mtu mwengine anaogopa anaweza kunizingua then nkampa lawama...huyu msichana nampenda sana..na nilikubaliana na hali niliomkuta nayo coz muda mrefu hatujaonana!!!ila ndo ameniambia ivo na kama nikisikia hamu nae nimtafutee!!jamani nashindwa kuelewa naombeni ushauri wenu wakuu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mhhhhhhhhhh huyo dada yawezekana amejikatia tamaaa kutokana na hali uliyomkuta nayo (yakuwa na mtoto) kama kweli wampenda jaribu kumrudisha kwenye mood ya kufurahia mapenzi na umuonyeshe unamkubali yeye na mwanae may be atakaa sawa

upande wa pili jaribu kumpeleleza labda anategemea baba mtoto atarudi kwake ndo maana hataki kujitoa mazima kwako maana ukisikia hamu umtafute yawezekana hataki kujifunga kwako anataka awamanage wewe na baba mtoto wake
 
Nenda mkapime ndugu yangu, HAPO UNAPOSEMA ANAOGOPA KUKUZINGUA BAADAE, pamenitisha sana...
 
Mkubwa mi nashangaa mleta mada.

Mkuu unashangaa nini tena!!na siku niliyomgegeda uwezi amini alinilazimisha nilale kwao maana nduguze woote walikuwa wamesafiri na nyumbani kwao alibaki mzee wake na mimi nilifunguliwa mlango wa nyuma!!nikikumbuka hiki kitendo huwa ndo nazidi kushangaaa!!!simuelewi kbs!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu naombeni ushauri jamani,nipo ktk mikakati ya kumtafuta msichana ambaye baadaye atakuja kuwa mke....
Kuna msichana ambaye tulisoma woote huko kilimanjaro na alikuwa dem wangu kipindi hiko ila nilipomaliza form 4 nilimuacha anaendelea na shule,me nkaenda mbeya form 5 na 6..baadaye udsm hatukuonana mpk nimemaliza chuo kama miaka 7 imepita,juzi juzi nkapata kazi Arusha na yeye kwao ni Arusha basi tukakuta tukaongea mengi sana ila mwenzangu tyr alikuwa kashapata mtoto ila me nkaona haina shida..tukafanya yeetu ila nikamueleza nataka awe wangu wa future naona mwenzangu akaniambia nitafute mtu mwengine anaogopa anaweza kunizingua then nkampa lawama...huyu msichana nampenda sana..na nilikubaliana na hali niliomkuta nayo coz muda mrefu hatujaonana!!!ila ndo ameniambia ivo na kama nikisikia hamu nae nimtafutee!!jamani nashindwa kuelewa naombeni ushauri wenu wakuu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

ulitaka akujibu vipi hili ufurahi? halafu wewe ni product ya UDSM kweli? kama ni hivyo hii University imeshapoteza mwelekeo na hasa ukizingatia walimu wenyewe ndio maboya kama Kitila Mkumbo.
 
Atakuwa na vitu anahitaji ambavyo huenda kwako anaona hatapata.
 
ulitaka akujibu vipi hili ufurahi? halafu wewe ni product ya UDSM kweli? kama ni hivyo hii University imeshapoteza mwelekeo na hasa ukizingatia walimu wenyewe ndio maboya kama Kitila Mkumbo.

Sasa mkuu matola ushaingiza siasa hapo!suala zima la mapenzi halina mwenyewe mkuu.......nadhani hakuna uhusiano kati ya desa na mapenzi...............slab inaingiliana vp na mapenzi kaka,!???

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
sio mtoa ushauri ila naona huyo msichana anahisi anakosa alilokutendea. 100 percent I am sure she thinks she's guilty.anahisi hutamwamini kwenye ndoa na hiyo inakuja kwa kuwa umemkuta na mtoto.anadhani kipo kilichopo kwenye kichwa chako juu ya subira yake pindi awapo kwenye ndoa.ikiwa ulimlaumu kwa kuzaa mtoto hapo ndipo umeharibu kabisa.

if you really love her it's simple.mwonyeshe hajakosa,mwambie unafahamu ingekuwa ngumu kukusubiri na jenga upendo kwa mtoto kama kumpa mtoto zawadi,kuomba kutoka na mtoto out.fanya kila uwezalo mtoto awe anasifu unachofanya uncle.........haitojenga upendo tu bali itauinua moyo uliokufa wa mpenz wako

just an advice
 
Mimi niko tofauti na wengi hapa. Sifikirii kabisa kama tatizo ni mtoto hapana, waliachana muda mrefu kila mtu alikuwa na maisha yake, hata kuolewa angekuwa kishaolewa.

Mimi nafikiria kwanza huenda zamani alikuwa mdogo akaona anampenda sana ila baada ya kukutana, na wanaume wengine kuna kidume kimeteka akili yake.
Ndio maana anashindwa kumkubalia huyu sababu moyoni mwake kuna mwingine.

Mimi nakushauri kaa naye chini muongee kiundani sana na ikiwezekana mpige story toka mlipoachana miaka hiyo, mpaka sasa mliyopitia lazima utajua sababu.
Kila la kheri.
 
Mkuu unashangaa nini tena!!na siku niliyomgegeda uwezi amini alinilazimisha nilale kwao maana nduguze woote walikuwa wamesafiri na nyumbani kwao alibaki mzee wake na mimi nilifunguliwa mlango wa nyuma!!nikikumbuka hiki kitendo huwa ndo nazidi kushangaaa!!!simuelewi kbs!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ulikumbuka kutumia kinga?
 
Wewe hujapenda bali umepandwa na nyege uchupa...
 
Nampongeza huyo dada kwa kuwa muwazi..
 
Kuna vitu huwez kumpa. Ashakupotezea

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
duh nahc yupo anayempenda kwa dhat kbs na c mwngn ni baba mtoto wake! so kwako amerud may b unanjururu nzuri na inamfurahisha tu! no more! so live her alon!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom