Haniridhishi jamani

Mara ya kwanza tu unalalamika jaribu kama mara 3 kama mambo yakiendelea kuwa vilevile ongea nae uone utamsaidia vipi
 
Huyo anaonekana mgeni sana huo mtaa ndio maana anapoteapotea kabla ya kufikisha abiria wake.Barabara inataka uzoefu ujue wapi kuna kona wapi shimo, wapi wanasimamaga traffic,wapi kunakuaga na foleni saa ngapi?zipi ni shortcut na cha msingi zaidi ni kwamba abiria wako anapenda njia gani.Dereva akishayajua hayo safari mbona dk 2 abiria anakupa nauli ya ziada tu wala hakuna uchawi
 

Haya mambo ilibidi msubiri mpaka mfunge ndoa. Ukiona mtu anakuridhisha siku ya kwanza basi ujue ameshawaridhisha wengi kabla hajakufikia na si ajabu yuko kwenye biashara ya kurudhisha na wengine pia. Kimsingi huyo jamaa yako hana tatizo kinachotakiwa ni kutulia na kuzoeana.
 
Heri yake ilisimama lakini akawahi kumaliza,kuna wengine siku ya kwanza haisimami kabisa.Usilaumu sana pengine ww ndiyo wa kwanza kwake,akizoea utakuja kulalamika tena jf kwamba anakushushia kama dozi.
 
Mara ya kwanza tu unalalamika jaribu kama mara 3 kama mambo yakiendelea kuwa vilevile ongea nae uone utamsaidia vipi

kusex ni mara ya kwanza lakini huwa tunakutana na kushikana na wakati romance haifiki hata dakika 2 tayari anakua ameshajikojelea kwenye suruali mi hii sijawai kuona aiseee!!!!
 
inaonekana wewe ni mzoefu, wakati mwenzako siyo mzoefu, na hiyo ndiyo shida inayowapata watu wengi...unafanya comparison,
mpe muda atabadilika

sasa kama alikua hajui angeacha basi asubiri mda ufike inaonekana ndivyo alivyo kwani hata tukifanya romance hujikuta ameshusha kwenye boxer
 
umemuachia dudu?unaelewa maana ya dudu wewe?
 

Kua mvumilivu.
kwa kua hilo limesha tokea,ukiendelea kuwaza kwamba yeye sio mwanaume
atashindwa kweli kweli.

Wewe ndio nguvu zake sasa hivi,mpe moyo kwa namna ambayo sio ya kumuonesha
kwamba yeye ni dhaifu.

Muulize una waza nini?
Mwambie "najua inatokea hivi kwakua una mawazo,usiwaze sana,nipo nawe"


Ah,bwana e,utajua mwenyewe jinsi ya kumfanya awe mwanaume tena,mchokoze
kwa kadri ya "utundu" wako.
 
Aombe mechi za marudio
 

Mmmmh,kumbe alikua ana jifunzia kwa mtu konkodi.
Namhurumia sana.
 
Hiyo ni kawaida kwa mwanaume mwenye hamu kubwa, anayekuwaza sana kabla ya kufanya, na mgeni katika mambo hayo.

Huyo mwanaume yuko vizuri kabisa na mbele ya safari akishakuzoea na kujifunza tegemea mashoga zako kukuonea wivu na kummezea mate, maana kazi atakayokuwa inaipiga lazima ukasimulie!!
 
kusex ni mara ya kwanza lakini huwa tunakutana na kushikana na wakati romance haifiki hata dakika 2 tayari anakua ameshajikojelea kwenye suruali mi hii sijawai kuona aiseee!!!!

Dah,ndo matatizo ya kuonja kwingi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…