kutokana na mishe za jana leo
tuna deal na supu chapati na krest soda.maana chai haitopanda
kabisaaa!
dah! Ndio maana kila nakopita na sioni dalili ya supu.mie nipo kanda ya ziwa mkuu
we ulilewa jana?...wenzio tuna mpango wa kulewa kesho....krest zipo za aina 4...ipi sasa ndo ya kuzimua.....?
we cl wewe haaaaaa ni hatari mmi mestuka bt ninamausingiz bado
Teh teh.... Hata me nshaamka napata chai na kiporo cha pilau cous jana sikutumia ile makitu.... So kiporo ndo mpango mzima!!!"! Karibu!!!!
asanteee b52 halafu weweeee
Mambo yote Ijumaa best.Hivi mnakuja tanga lini? Manake nimewasubiri hadi nimechoka. Uniletee mirungi na bigijii kumi plz.
fanta aaah! Mie nakandamiza kitu grant fanta ni za akina king'ast,beibe nasty na charminglady.
Mambo yote Ijumaa best.
Tutakukuta wapi? Majani-mapana? Makorora? Raskazoni? Mwakizalo?
Hivi mnakuja tanga lini? Manake nimewasubiri hadi nimechoka. Uniletee mirungi na bigijii kumi plz.