Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,977
Ni mzalendo wa kweli
Ni mpenda haki
Ni mcha Mungu wa kweli... Lakini ni mzee wa rula.. Hapendi konakona
Hangaikeni naye vizuri, atawafaeni huko mbeleni.. Nyie na wana wenu na vizazi vyenu
Ni mtu mwema mwenye kibali machoni pa Muumba wetu.. Hangaikeni naye vizuri ni kizalia cha Ibrahim Troule
Msidanganywe na wanaomuogopa.. Wenye dhambi hukimbia hata vivuli vyao... Wana mashaka mengi juu ya machumo ya dhuluma wanayomiliki.. Wamevimbiwa na kuvimbilwa lakini bado wanakula
Hofu yao kubwa sio kutapika kwa hiari bali kutapishwa kwa nguvu...
Hangaikeni naye vema ni mlinzi imara na mpambanaji wa kweli wa maslahi yenu
Wa haki zenu
Wa utu wenu
Wa hatima zenu
Kamwe msikubali kugombanishwa naye... Hawako tayari kuwaona mnapatana naye.. Maana wanatambua fika.. Huo ndio utakuwa mwisho wao..
Hangaikeni naye vema mkitambua ya kwamba kuna kesho na kesho yenyewe haiko mbali