Hahaaaa sio yule jamaa ambae shati lake moja unafunikia vitz?
Hapo shati lake ndo alikuwa kashafunikia vitz au?
le mutuzi yuko na mbebezi wa ukweli u know wanakula bata tu
Miss neddy huyo kulia sio wewe kweli maana juzi niliwaona
nilikuwa kama nasinzia fulani nataka kulala, niliposoma hii kitu usingizi umeisha kabisa, hahaha, kwa nn huyu jamaa watu wanamfanya kama mtoto