kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Baba ako nahisi ni mmoja kati yaohivi kuna wanaume wacute kweli????
Baba ako nahisi ni mmoja kati yaohivi kuna wanaume wacute kweli????
Ndioo.. Mfano naweza kusema Justin bierber ni cute na jason derulo ni handsomeSasa huyo mwenye ngozi laini ni mwanaume?
Mbona Justin bieber Ana machunus mekundu .ingawa ni handsome sasa huo ucute ni urembo ama.Ndioo.. Mfano naweza kusema Justin bierber ni cute na jason derulo ni handsome
Kilichovuruga hapo ni hela,kila jina ataitwa.Mbona Justin bieber Ana machunus mekundu .ingawa ni handsome sasa huo ucute ni urembo ama.
Ukiwa na pesa, you will be all of the aboveBila kupepesa.
Ipi ni compliment nzuri?
Wanawake wanavutiwa na wanaume handsome au cute?
Msidanganyane ukiwa na pesa zitapendwa pesa tu ila sura mbaya itabaki pale pale na shababi mwenye sura ama mwili wenye mvuto anaweza aka kulia mwanamke wako hata mkeo.[emoji23]Ukiwa na pesa, you will be all of the above
Hakuna mwanaume cute ni kuna wanaume mahandsome tu hao macute ni mashoga .Bila kupepesa.
Ipi ni compliment nzuri?
Wanawake wanavutiwa na wanaume handsome au cute?
Nashangaaaahivi kuna wanaume wacute kweli????
Shaur yenu mimi nakula wig View attachment 1108187