Kama sisi tunavutiwa na wowo kubwa Sasa wao Ni Nani mpaka wasivutiwe na udunga mkubwa?Bila kupepesa.
Ipi ni compliment nzuri?
Wanawake wanavutiwa na wanaumw handsome or cute?
Bila kupepesa.
Ipi ni compliment nzuri?
Wanawake wanavutiwa na wanaume handsome au cute?
Wewe tafuta hela, utaitwa vyote ivyo
Mwanamke anavutiwa na mwanaume mwenye pesa, wasikudanganye eti handsome uongo mtupu.Bila kupepesa.
Ipi ni compliment nzuri?
Wanawake wanavutiwa na wanaume handsome au cute?
Et we wavutiwa na niniUko sahihi mkuu
Et we wavutiwa na nini
Ngoja nikutumieEla mkuu
Ngoja nikutumie
Kwa acc ileile mkuu
Handsome nahisi anakuwa mrefu na mwili wa kujengeka... Alafu cute anakuwa mwili wa kawaida ila mzuri usoni,ngozi laini lainiKwanza tofauti ipo wap
Sasa huyo mwenye ngozi laini ni mwanaume?Handsome nahisi anakuwa mrefu na mwili wa kujengeka... Alafu cute anakuwa mwili wa kawaida ila mzuri usoni,ngozi laini laini