Handsome hadi uzeeni.

mandela20.jpg
enzi hizo jamaa akikutokea kulenga ngum
Na hayo macho ya mlegezo, kifua kipana, na juu ya yote famous guy in town.... mama yangu watoto wa kike walikuwa wanapanga foleni hapo. Huwa wanakufa mara mbili mtu akijaariwa kuchanganya hizo character. Mnisahihishe kama nimekosea ila nahisi huo ni ukweli mtupu. Kama ingelikuwa ni leo, na haka kagonjwa chetu haka..mhhh sijui tungelimjua madiba kweli?
 
mmh kwenye red ukanipotosha wa nyumbani duh!!! (i had to use xtre calories)

mmh

mmh!!

bluu ukapatia, red no ukaendeleza filler word yako!!!

Madame unashangaa tena wakati kishasema mmasai huoni kama kajitahidi shemeji yako ;)
 
Madame unashangaa tena wakati kishasema mmasai huoni kama kajitahidi shemeji yako ;)

wamasai hawana hizo mwambie akueleze vizuri yeye wa wapi!!! ndugu zangu hawna shida ya 'h'....(unawajua wenye tatizo la hiyo herufi FL1 my dear?)
 
dunia ya leo inabidi ujinade mwenyewe najiita, hila nina sumaku ya kuvuta wanavyodai.

kama ungejua FL1 wewe ndio sababu ya mi kujiunga humu ndani unauvutio fulani fulani hivi na maneno yako. hiyo avatar yako na hisi _aiko tofauti na chombo chenyewe if not better.

no coment handsomeboy
 
wamasai hawana hizo mwambie akueleze vizuri yeye wa wapi!!! ndugu zangu hawna shida ya 'h'....(unawajua wenye tatizo la hiyo herufi FL1 my dear?)

hata sijui habu niambia shost asije kuwa chinja chinja ( mungiki)
 
hata sijui habu niambia shost asije kuwa chinja chinja ( mungiki)
hahaaa si Mungik huyu mchuchu wako.....ila wale wa kwenye kona kule karibu na masangara.....wengi wanshida na hizo kitu!!!
 
sijui kwajili sijavaa miwani?but mmh kiti kama kinataka kudondoka?its like alikuwa ameweka pozi apige picha then fasta atengeneze kiti for pozi jingine au mm tu?[/

hahaha wewe Pearl mbona unavunja mbavu mwenzio
 
sijui kwajili sijavaa miwani?but mmh kiti kama kinataka kudondoka?its like alikuwa ameweka pozi apige picha then fasta atengeneze kiti for pozi jingine au mm tu?[/

Hhahahahaa Pearl nimecheka kweli halafu kipo kama kwenye kamteremko
 
umeona eeeeeeeeh?
watanzania kwa majungu tu hatujambo,
una tumesha anza kuijungulize picha ya babu wa watu...
Sijui bujibuji wakati anaanzisha hii thread alikuwa anajuwa kuwa itageuka na kuwa ya majungu?
Just a joke....usikasirike dada
 
Back
Top Bottom