handbags na wallet kwa wadada zinauzwa

handbags na wallet kwa wadada zinauzwa

Graca

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
471
Reaction score
152
haya wapendwa napenda kushare nanyi mambo mazuri ya kuwapendezesha na kwa bei nafuu sana.

handbags bei ni 50,000 na pochi ndogo ni 30,000. kwa anayetaka aniibox tufanye biashara, nauza rejareja.

nimeweka sample hapa so nasubiri PM zenu then tuongee biashara.
 

Attachments

  • IMG-20130817-WA0003.jpg
    IMG-20130817-WA0003.jpg
    59.3 KB · Views: 154
  • IMG-20130817-WA0017.jpg
    IMG-20130817-WA0017.jpg
    42.8 KB · Views: 280
  • IMG-20130817-WA0006.jpg
    IMG-20130817-WA0006.jpg
    65.4 KB · Views: 133
  • IMG-20130817-WA0004.jpg
    IMG-20130817-WA0004.jpg
    50 KB · Views: 120
thx sweetheart. loh pesa ya shikamoo inachosha bora nianze mdogomdogo najua with time nitafika mahali nataka
 
Napenda hii hapa:
Pia natamani na hiyo
uliyowekea juu yake
yaani sketi na koti lake
attachment.php
 
ok poa,
ila hiyo nguo kwangu ndo challenge kubwa,
any way niko hapa kijiweni kwangu
sema lini utapita ili niweke hiyo chpaaa;

uje na colour tofauti ili nichague mwaya.

thanks Mamndenyi..sema tu lini nikuletee...

hili ni koti haliuzwi mamii...pole jamani.
 
Back
Top Bottom