akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
- Thread starter
-
- #21
even the longest road has an end...!!! kuna divorce, mind you. so sooner or later, mtaachana
umeshindwa kugegeda wewe
Daaah, kweli aisee.Kuna muda inabidi kuukunali ukweli.Dawa ni chungu lakini inaponyeshwa.
wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenzi na mimi. Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;
1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.
2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.
3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.
Kila la heri.
nimempenda bure huyo bidada, amekuwa muwazi na mkweli amekuambia whether you take it or you leave it!! Wengi hawana ujasiri wa kumwambia mtu ukweli
Mkuu, hupaswi kuomba ushauri kwa hilo.
Huyo gf wako amekuambia ukweli na nijuavyo mimi ni Ke wachache wenye uwezo wa kufunguka kama gf alivyo kuweka bayana.
Hakuna zaidi ya kuachana nae na utafute wako mwenye atakua ana hisia za kulaliana na wewe. Hakuna ubishi kwamba huyo unaemuita gf wako lazima anae Me anaempa hisia wanapo laliana.
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;
1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.
2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.
3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.
Kila la heri.
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona dizain ameactivate "don care mode"
Wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.Dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenZi na mimi. Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?
Hapo ujue kweli hana hisia na wewe...Either yupo mwingine au wewe humfikishi vizuri anakuona tuu km kero fulani ukimtajia kuhusu mapenzi...Hilo pia linatokea ktk mahusiano...
Hasa pale ambapo mwanaume unakuwa unamfanyia mwanamke vitu ambavyo havipendi...mfano kumshika sehemu ambazo hapendi yeye...pengine akikupeleka mkono anapopenda yeye we huelekei, huelewi, ....Hufanyi anavyopenda yeye mkiwa kitandani...Basi hii hufikia mwanamke kumuona mwanaume km kero akitamka kuhusu tendo la ndoa sababu huhisi raha yeyote zaidi ni wewe mwanaume ndio unaefaidika tuu ktk tendo