Hana hisia na mimi

Hana hisia na mimi

akili akili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,767
Reaction score
1,155
Wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2.

Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.

Dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile).

Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenzi na mimi.

Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli.

Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?
 
hapo mkuu atakuwa ana m2 wake na anampenda ka vp we mpotezee af uone itakuaje,kama anakupenda atakutafuta kama hakupend jumla
 
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;

1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.

2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.

3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.

Kila la heri.
 
Hisia huwa zipo tu, kama sio kwako basi zishahama. Ni ukweli japo inauma.
 
hapo mkuu atakuwa ana m2 wake na anampenda ka vp we mpotezee af uone itakuaje,kama anakupenda atakutafuta kama hakupend jumla

Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona dizain ameactivate "don care mode"
 
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;

1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.

2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.

3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.

Kila la heri.

Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona hajali. Kwa mfano, nisipomcheki kwa simu tangu asubuhi hadi jioni na yeye anauchuna.
 
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona hajali. Kwa mfano, nisipomcheki kwa simu tangu asubuhi hadi jioni na yeye anauchuna.
kwa maelezo yako aisee ni kwamba penzi lishachuja!anza kumsahau tu taratibu maana atakua amepata..mwngne zaidi yako.
 
Wanaume wenzako washafanya mambo, wamemteka kihisia, kimwili na kiakili.
Pole sana ndio mapenzi hayo.
 
Wadau, nina girlfriend
wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa
naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.Dizain inabidi
nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano
kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri
akafungua kwamba hana hisia za kimapenZi na mimi. Hii hali imeniumiza,
na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa
hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya
yake!!?

Pole sana. Mahusiano yakidumu kwa muda mrefu sana, kuchokana imo!
 
iliwai nitokea japo milimpenda sana....na hii yote husababishwa na kama ume mtendea ndivyo sivyo na kuna jambo baya ume mfanyia....
 
ndugu wana jf, kabla hamjamshauri mtu yeyote hasa inapokuwa hoja ya mapenzi muwe mnauliza umri wake, ameoa/ameolewa?
 
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona hajali. Kwa mfano, nisipomcheki kwa simu tangu asubuhi hadi jioni na yeye anauchuna.

jombaa, just find your level.. hakutaki tena huyo
 
Hapo hakutaki tena madam hamjaoana tafuta mwingine
 
Back
Top Bottom