1. Uwe makini na chochote unacho kisoma.
2. Uwe makini na chochote unacho kiandika.
3. Ukiona kitu usikitazame kama hakikusaidii.
4. Heshimu mawazo ya wenzako hata kama wanapinga wazo lako ambalo kwako ni sahihi.
5. Tumia lugha nzuri na yenye busara.
6. Wapongeze wanaotoa mawazo mazuri na toa mawazo yako kwa uhuru wote.
7. Linda nafsi yako kuliko yote uyalindayo.