Hamu isiyoisha

mbona hamna attachment?

Beba hii kitu kwenye kipochi kama wenzako(Ciello) wanavyofanya, usije ukahadhirika bure siku nyingine.

[/QUOTE]

Mod kaifuta, lakini pale juu umenisoma au?
 
Bora urogezewe kitu kingine lakini sio hii makitu ya nazjaz, unajua unaweza kukuta unapitiwa na wanaume wote kwenye kata uliyopo
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali

"Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa"....loooh! Wakati wengine tunanuna kwa kuhesabiwa vibao, wengine wanaduu masaa 4...tehe teheeeeeeeeeeeee ni hali ya kawaida itapungua utakapokuwa na majukumu hasa ya watoto na pia umri unavyopass
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali

Kuna kijana amefanyiwa derivelance SCOAN yeye alikuwa anaweza masterbate 8 times na bado akalala na wanawake 8 na kila tendo linalast 1.5 hrs.
Kwa maelezo yake alipata hisia/sauti inauomuelekeza kumastarbate when he was 9 while taking a shower!

Sijui kama unajiidentify yourself in the guys situation au la; lengo langu nikukupa hiyo story tu. By the was guy ni Mcameroon aliyechanganyika na Myahudi Shalom somebody, story yake waweza ipata ukicheck page ya SCOAN
 
Mod kaifuta, lakini pale juu umenisoma au?[/QUOTE]MMMMH UNATAKA ?
 
kwani hapa JF kuna ambaye huwa hafanyi sex?
Kama yupo anamatatizo yake,
Nazjaz mwenyewe anaonekana ni kinara na alizaliwa ili a do, huyo kaka anakomaje?
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali

ni vizuri hiyo dada yangu kwani kuna watu huenda kwa waganga na hospital kutafuta hizo ham/nguvu
 
asante Smile, siitaki nasikia ziko very addictive, ukiwa nayo hata mumeo unamuona mchungu
Mod kaifuta, lakini pale juu umenisoma au?
MMMMH UNATAKA ?[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
asante smile, siitaki nasikia ziko very addictive, ukiwa nayo hata mumeo unamuona mchungummmmh unataka ?
[/quote]sio mimi nimekutumia dear naona umeqote vibaya ila tatizo lako nenda hosptal au ufanyiwe maombi utakuwa una pepo
 
sio mimi nimekutumia dear naona umeqote vibaya ila tatizo lako nenda hosptal au ufanyiwe maombi utakuwa una pepo
asante mamito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…