University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 660
Katika tamasha linalofanywa usiku huu wa tarehe 10/08/2029 Uko nchini Marekani New York.
Harmonize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia nchini Marekani katika tamasha la Oneafrica_Musicfest.
Uku Diamond Platnumz ndiye msanii aliyefanikiwa kutumbuiza kwenye tamasha hilo.