hamnioni tena chit chat!

Nakwambaia Bishanga utajibeba leo.........
Aiiiiiiiii, acha nicheke binti Kijakazi mieeeee
 
najua tu Yummy mke wa mtu, ila kwa nani ndio sijui, hata hao wengine sijui waume zao ila najua pia wako occupied smhow ki jei efu ofkoz.

I love uuuuuuuuuu cacico umepatia haswaaaa tena nna ndoa MBILI muhimu sana kwangu
 
Last edited by a moderator:
Unapenda dezo dezo we Tai we yatakushinda,
Kodi ya nyumba hunilipi,
Maji yashakatwa eh,
Perfume za bure wataka......
(Source: king kiki)

Kazi yote niliyofanya kwa Yummy imekuwa dezo wacha nikaseme naye akubadilikie Dr Luv.
 
Last edited by a moderator:
Nakwambaia Bishanga utajibeba leo.........
Aiiiiiiiii, acha nicheke binti Kijakazi mieeeee

Toba yarabi,umejifunga kabisa kibwebwe ( tena khanga ya chichiem) na kisha ukanifata hadi huku,ama kweli wewe mtoto wa tip top manzese .
 

unajua kule siasa kudadadeki ni tusi usije pigwa ban bure shaurilo
 
Uendako ndo utakakokula ban ya maisha. nenda pale sebuleni kwa mtambuzi mmu.
 
afadhari tutapumua lakini huyu mzee amekuwa addicted hapa chit-chat haondoki huyo hizo ni mbwembwe anadhani mtambembeleza ahesabu wangapi wanamfagilia.:couch2:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…