Hamna taifa litaloweza kuing’oa Israel Mashariki ya Kati maana hapo ndipo nyumbani!

Taifa la Israel Limepitia matatizo mengi hata kabla ya kuja kwa masia /Nabii iSsa.
Limepigana vita nyingi ikiwa ni pamoja na Wafilisti na kuwashinda mara kadhaa.

Wafilisti lilikua taifa la watu wa kale ambao leo n wairaq na wasyria.

Kwanini Hamna atakae ling’oa taifa la israel…?

Miaka ya leo linapigana na Waarabu napenda kutumia waarabu kwa sababu taifa la palestina halijawai kuwepo had mwaka 1988 (ukibisha lete ushahidi). Taifa hili limeanza kupigwa vita na kutekwa mara kadhaa lakini kila mara wamekua wakirudi kwene hii Ardhi yao pendwa.

Utasikia mpumbavu mmoja akisema Ni wazungu wametoka ulaya kwenda kuanzisha nchi pale?? Je we ungekua mzungu ungekubali kwenda kufia jangwani pale kwene waarabu wenye visilani uache kukaa miji mizuri kama venice, paris na UK!!

Ukweli ni kwamba waisrael wapo tayari kufia pale kwasababu hawana sehemu nyingine kila nchi wamekua wakibaguliwa na kuuliwa. Lakini waarabu wamevamia ardhi yao !
Mkuu umeongea pointi..
Lakini nijuze 1988 na Palestine
 
Hivi Adolf alikosewa Nini Hadi akataka kuwamaliza kabisa hao wayahudi?
Walienda kufanya Nini hapo Germany?
Kabla ya mitandao ya poni ambayo Leo hii ndio wanaimili na inapiga Hela balaa ,enzi hizo walikuwa wanafanya biashara ya vijarida ya poni na kuwauzia germany.hii ni Moja ya mambo yalipelekea jamaa kuchoma moto vitabu vyote vilivyoandikwa na hao jamaa.
 
Ipo siku wataondolewa tu, nakuhakikishia hili lazima litatokea ama sisi tukiwa hai au tukiwa tumekufa. Hakuna nchi itasimama kwa apartheid. Si hiyo hapo South Africa imekuwa huru, hata Palestine itakuwa huru

Hawa waarabu ambao leo viongozi wao wengi wamekuwa wanafiki ipo siku itafika viongozi watakuwa sio wanafiki. Wakati huo ukifika Israel is no more.

Hawa watu wamelaaniwa hapa duniani na kesho ahera moto unawasubiri. Laana ziwafikie Waisrael popote walipo
 
Taifa la Israel Limepitia matatizo mengi hata kabla ya kuja kwa masia /Nabii iSsa.
Limepigana vita nyingi ikiwa ni pamoja na Wafilisti na kuwashinda mara kadhaa.

Wafilisti lilikua taifa la watu wa kale ambao leo n wairaq na wasyria.

Kwanini Hamna atakae ling’oa taifa la israel…?

Miaka ya leo linapigana na Waarabu napenda kutumia waarabu kwa sababu taifa la palestina halijawai kuwepo had mwaka 1988 (ukibisha lete ushahidi). Taifa hili limeanza kupigwa vita na kutekwa mara kadhaa lakini kila mara wamekua wakirudi kwene hii Ardhi yao pendwa.

Utasikia mpumbavu mmoja akisema Ni wazungu wametoka ulaya kwenda kuanzisha nchi pale?? Je we ungekua mzungu ungekubali kwenda kufia jangwani pale kwene waarabu wenye visilani uache kukaa miji mizuri kama venice, paris na UK!!

Ukweli ni kwamba waisrael wapo tayari kufia pale kwasababu hawana sehemu nyingine kila nchi wamekua wakibaguliwa na kuuliwa. Lakini waarabu wamevamia ardhi yao !
Sisi kama Watanzania hii hadithi fake inatuhusu nini?
 
Wala siumii samaki kujikaanga na mafuta yake.
Wao ndo wanaumia kwanini wapalestina wanazaana sana na wao ndo vile tia maji tia maji

Mkuu lete ushaihidi muisrael Anamjua mungu kuliko huyo muarabu! waarabu ni mashetani

Ndani ya israel kuna wapalestina milion 2 ambao wamepewa uraia na Israel

Haya tuambie huko Qatar, UEA,Palestina na jordan kuna waisrael wangapi ambao wamepewa uraia na wanaishi kwa haki!

Hao hamas wanavorusha hayo mabomu hawajali kama ataekufa ni mpalestina mwenzao au muisraeli!

Kifupi kama kungekua na bomu la kuua waisrael wote na pamoja na waliondani hata kama ni waarabu milion 10 bas waarabu wa nchi za kiarabu wangerusha. chuki mbaya sana.
 
Utasikia mpumbavu mmoja akisema Ni wazungu wametoka ulaya kwenda kuanzisha nchi pale?? Je we ungekua mzungu ungekubali kwenda kufia jangwani pale kwene waarabu wenye visilani uache kukaa miji mizuri kama venice, paris na UK!!

Ukweli ni kwamba waisrael wapo tayari kufia pale kwasababu hawana sehemu nyingine kila nchi wamekua wakibaguliwa na kuuliwa. Lakini waarabu wamevamia ardhi yao !
Nimekubali kuwa mpumbavu ila ukweli ni kwamba hao wazungu wameletwa kwa sababu hiyo ni ardhi takatifu na Waisraeli wakweli waliishi hapo na wana legacy kubwa kupitia vitabu vya dini.

hivyo hao wazungu wamekuwa brain washed kuamini kwamba wao ndo waisrael og ili kuendelea kutumia legacy ya watu ambao waliwapiga,kuwaua na kuwafukuza katika ardhi hiyo. Hii kwao ni White Supremacy na haiishii hapo ina mizizi mingi tu hiyo Israel ni moja wapo.

Ni sawa na Mmatumbi wa Buza aliyedanganywa ye ni mkristo au muislamu mtakatifu na akawakataa mababu zake hivyo akipewa ofa ya kwenda kuishi Vatican au Mecca kwenye mji wao mtakatifu haulizi mara mbili.

Sishabikii Israel wala Palestina maana huko kote hakuna waisrael original walishapakimbia, at least wapalestina kwa mbaali wanafanania baadhi ya feature na true israelite ila sio hao wazungu wauaji.

Kwenye zama za maarifa ujinga ni wa kujitakia.
 
Back
Top Bottom