Yaap kafutaKweli? Let me check....
Wabongo walikuwa wana comment vibaya aisee, ila hyo ni tabia mbovu ya kumharibia mwingine.Nasikia huyo Lira kafuta hiyo post ya Hamisa aka (Mchawi karaba) [emoji23][emoji23] sasa sidhani kama ataenda tena
Usikute aisee maana Mange naye