johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Kwahiyo mnakopea hati za club au zile Treasury bills alizosema CEO Magori?!!!Sasa nani alikwambia hata zile sajili za Real Madrid au kina Kroenke kununua hisa za arsenal pesa inatolewa Cash?? Hizi biashara kubwa kukopa na kuwekeza ni kitu cha kawaida ndio maana unakuta timu kama Real Madrid na Barcelona zina madeni makubwa sana licha ya kuwa zina mapato makubwa sababu biashara ndio mzunguko wa hivo unakopa hapa unawekeza kule. Sasa kama mlidhani uwekezaji ni lazima cash money mmechemka maana hata Abramovich hakufanya hivyo!! Ni vizuri hao viongozi wa simba wakasome sheria za mikataba na biashara za kimataifa ili wafunguke akili.
NB: Hati fungani akinunua means yeye ndio anakopesha serikali.... Ila akiuza hati fungani means yeye ndio anakopeshwa na serikali!!
Rudi tu jukwaa la siasa ukatetee CCM huku hapakufai
Kila kitu kiko wazi sana , Makubaliano yalishafikiwa na yamesainiwa , kinachotakiwa ni MO kuyatimiza tu , sasa sarakasi ndio ziko hapo .Je huo mkataba mmependekeza imeshindikana? Sabbu kumbukeni wana simba sio nyinyi peke yenu wanasimba wao wengi sana hata hao mnaosigana nao ni wanasimba kama nyinyi, kama wao wanaona kuna jema wakifanya hivyo kwa maslahi ya Club kwanini nanyi msione ni jambo jema?
Kuna faida gani ya kukaa na majengo yaliyo chakaa, ambayo si faida kwa club wala wanachama na kuna faida gani ya kuwa na jina kubwa la Simba lakini timu haina mafanikio ya maana ndani na Nje ya Nchi?
mi nilidhani suala ingekuwa mzee kilomoni na timu yake upande ambao wana hizo nyaraka wanazokatalia wangeweka masharti yao mezani kwa niaba ya upande wao je wanataka kitu gani kwa kushikilia hizo hati?, na waseme hivyo mbele ya wanasheria na waandishi wa habari huenda hoja zao zina mashiko..kwa faida ya club ya leo na kesho.
Kisha upande wa Bodi ya Simba(muwekezaji) nao watoe malengo yao na nia yao kwa kuhitaji hizo hati kisha muafaka kwa maslahi ya club ufikiwe sio kwa matumbo ya watu fulani ni wajinga wajinga ambao mpaka leo wanaamini katika uchawi na ushirikina..
Sasa hata akikopea kwa hati za timu hasara ni ipi wakati hyo pesa itawekwa kwenye akaunti ya timu?? Ingekua anakopa kwa shughuli binafsi hapo sawa ila sioni shida as long as pesa inarudi kwenye timu.Kwahiyo mnakopea hati za club au zile Treasury bills alizosema CEO Magori?!!!
Hata kama akifa leo,hizo hati atawarithisha wanaehuyo mzee hana tofauti na mzee akilimali.... yaani wazee kama hawa ndiyo kikwazo cha soka letu kufika mbali !! sasa huyu mzee hana hata miaka mingi hapa duniani ya kuishi.... wazee kama vilaza kwlkwl
Akifa Hati atawarithisha watoto wakeakafie mbele na mtumbotumbo wake kama mjamzito
Kila kitu kiko wazi sana , Makubaliano yalishafikiwa na yamesainiwa , kinachotakiwa ni MO kuyatimiza tu , sasa sarakasi ndio ziko hapo .
ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine
MO Anadanganywa sana na wapambe , afuate yaliyoamriwa kwenye mkutano wa wanachama wakati wanapitisha mabadiliko baaaasi , hatuna lingineMkuu mi nadhani tatizo litakuwa hayo masharti ambayo yapo kwenye huo mkataba wenu ili muachie hizo hati ambapo bila shaka hata ingekuwa wewe ndio muwekezaji bila shaka ungesita ama kikataa kuweka sahihi.
Bila shaka hata dhamira zenu wewe na wenzio mlio upande wa kilomoni mnalijua hilo..
Je unaweza toa dondoo za matakwa yenu hapa jamvini ili watu wengine walio na mapenzi mema wasaidie kumsukuma Mo afikie makubaliano kama lengo lenu no zuri kwa club?
Msisahau kuna tuhuma za ubadhirifu wa mali za Club, Ushirikina, na rushwa wakati wa usajili wa wachezaji na kocha.
Tunafahamu mpaka majina ya viongozi waliokuwa Miungu watu bila wao kupata chao Mchezaji hasajiliwi simba..
Tupe dondoo za huo mkataba wenu hapa jamvini mkuu..
Kwani kunauwekezaji usio na maslai?Tupo imara hatutushwi na kelele za mwekezaji maslahi
Kwani kunauwekezaji usio na maslai?
Kwa mujibu wa Magori hilo la Kilomoni na maslahi yenu limekwisha..MO Anadanganywa sana na wapambe , afuate yaliyoamriwa kwenye mkutano wa wanachama wakati wanapitisha mabadiliko baaaasi , hatuna lingine
Magori ndio kiongozi wa wapambe wa MoKwa mujibu wa Magori hilo la Kilomoni na maslahi yenu limekwisha..
mzee kilomoni ana utajiri mkubwa sana... Anamiliki timu! Safi sana!Apeleke hati za mali ya timu yake Tanganyika arms au BENKI KUU wakamhifadhie kwenye SAFE watukuja kuvunja nyumba na kuiba hati za timu yake ili wampelekee kumridhisha MO
Bi Hindu ameshamkana Kilomoni.Ohooo??? Bi Hindu naye mwekezaji na mfadhili wa simba au yeye ni nani. Kuna vitu vya kukaa na kusikiliza lakini kwa mpira wa sasa wa kisasa Bi Hindu anajua nini? hata huyu mzee Kilomoni ana tofauti gani na mzee Akilimali ya Yanga. Ni vizee vinavyocheza mpira kwa mdomo bila
Yanga mngemsajili mzee kilomoni awape HatiHuu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
Matokeo umeyaona ?MO atamteka?
Aiseee !!
Mwamba wa Dar