Sa kama mwanaume kama Nyumba nzuri na Gari Kwanini asimuheshimu....?
Alafu pia mwanamkee ameumbwa kuishi chini ya mwanaume tangu Adamu na Hawa.
Hata ubinuke vipi sikio halizidi kichwa bidada
Hamisa siyo mzuri. Ni nguvu ya make up.
Check picha zake before umaarufu, she ain't that beautiful
ingawa siwajui wahusika hata wewe mtoa mada..., ila inawezekana wewe umekasirika na vimekuudhi kuliko hao wahusika....
Hizi nguvu zingetumika constructively nadhani hata wewe ungeweza kutumia hayo maneno ukayapangia vina na kutoa hata single, au ukakusanya maneno na kuyaweka vizuri hata ukatunga kitabu cha kuwaburudisha ndugu zako....
Raha ya mwanamke uhongwe bhanaa sio mwanamke kujifanya mjuajiiii... Kama fundi Chuma.Maskin Ndio maana mnadanyuliwa na kuachwa , mnashoboka sana na magar na nyumba ambazo sio za kwenu mxieew , Kwan nyie hamuwez kutafuta vyenu Mxiee Ndio maana mnapasuliwa mashavu kuendeza shida tu
Mtu ajakuchumbia wala kukuvisha pEte shobo hizo vepee na kina lulu wasemeje sasa wenye wachumba zao official mxiew
She is cute , ana muonekano mzuri hamisa , hata sisi ukileta picha zetu za zaman na sisi hiv tunaweza kukimbiana, kadada ni kazur, ni kujielewa tu hajielewi bado
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi binamu picha za mpoki za zamani hauna?
warumi unaonesha una chuki Sana kwa huyo dada sijui kakukosea Nini Kwani kosa lake hapo Nini?Hii kauli huwa naitafakari sana, hivi Hamisa akili zake sijui zipo sawa kichwani yaani anapenda kumpa Diamond power kwenye maisha yake utadhani yeye Ndo Mungu wake.
Mtu hajawahi kuwa your official Boyfriend zaid ya mchepuko, kila siku unakanwa, sasa kuna haja gani ya kumfanya awe Mungu mtu kwako.
Yaani kabisa bila aibu unaulizwa kama Diamond alijua kuwa una-shoot na Alikiba na wewe na akili zako za kushikiwa unajibu eti alikuruhusu.
Kama nani labda? Au ndio kujipendekeza upate child support? Hamisa mzuri ila anajiabishaga hana hata class. Kashamruhusu Diamond amtawale mwili hadi maisha
Wanadhalilishwa au wanajidhalilisha?Hiyo statement hata mimi ilinishangaza sana. Ningekuwa karibu yake ningemzaba mabao ili aamke kwenye usingizi wa kiherehere na kujipendekeza. Hawa ndo wanaompa diamond bichwa ili azidi kuwadharirisha
Raha ya mwanamke uhongwe bhanaa sio mwanamke kujifanya mjuajiiii... Kama fundi Chuma.
Kila kitu kujifanya mgumu kwako.
Mwanamke upewe Nyumba mama
Mwanamke upeweee mambo.
Sio kujifanya unazooo kumbe unakuwa msengererereeeee
Mi mwenyeweee na kibubu Changu nataka nikivunje Christmas hapa nilipo na haha natafuta wa kumuhonga.Sasa na kuroga kote anaishia kuhongwa mimba , na kina k-Lynn wasemeje? Raha ya kuhongwa uwe na akili timamu