Hamis Mgeja afagilia Edward Lowassa

Hamis Mgeja afagilia Edward Lowassa

Hamis Mgeja ni mtu anaejiamini, Tangu 1995 alimtangaza Jk kuwa ndie mtu anaemuunga mkono hakumung'unya maneno, Katika kumuunga mkono Lowassa Pia hajivungi au kuongelea nyuma Ya Pazia. Huyu ndie aliewakutanisha Jk na Lowassa watu walipojaribu sana kuwagombanisha kwa kuchochea uongo
Mgeja Kondakta ni kiwakilisha cha wana shinyanga wengi
 
Back
Top Bottom