Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Nina hamu ya kusikia kauli ya baba riz toka mdomoni kwake kuhusu sakata hili.
 
Kazi imeanza na EL najua hutashinda hii vita kwani si ndogo unavyodhani na jina lako litakatwa bora ungekaa kimya!! Huwa nasema kila siku huna washauri wazuri wa campaign!!
View attachment 254564


Hizi mimi naziita porojo za mtu muuoga.... Hatuyumbishwi na hizi porojo, mabadiliko ni lazima...
 
Wewe Kingwangwala hujui unafiki wa Kikwete?

Kigwangala ni mwepesi sana na mweupe kichwani. Namhakikishia sisi ndio tulimsaidia kuupata ubunge akiwa hata hata mia anashindia mihogo tukakodisha magari ya ndugu jamaa na marafiki mengine yaliharibika akashindwa hata kuyatengeneza mengine hata mafuta ya kuyarudisha magar kwa wenyewe yalikosekana. Kama tulivyokusaidia ndivyo tunakuja kuhakikisha ubunge huupati kwa namna yeyote ile.
 
wanaomtumia nyerere wakome mzee kashajifia hizo fikra zake baadhi zimekufa ujamaa umekufa tupo ubeparini tumia pesa ikutumie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…