Yahudi mweusi mbona unaleta habari nusu nusu😂Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.
Swali: Nani aliwapa Hamas ushauri wa kuishambulia Israeli?. Leo wamepoyeza udhibiti
Mimi naongelea utawala wa Hamas. Silaha watajua wenyewe. Halafu Israel inashikilia asilimia 63 ya eneo la Gaza.Yahudi mweusi mbona unaleta habari nusu nusu😂
Hamas inasema haitaondoa silaha hadi Israeli itakapojiondoa kikamilifu kutoka kwa 53% ya Gaza ambayo bado inaimiliki na utawala wa Palestina utakapokuwepo.
Israeli ni Magaidi. Yalio laaniwa na Yesu.Mimi naongelea utawala wa Hamas. Silaha watajua wenyewe. Halafu Israel inashikilia asilimia 63 ya eneo la Gaza.
Elezea sababu basi tufahamu..Mimi naongelea utawala wa Hamas. Silaha watajua wenyewe. Halafu Israel inashikilia asilimia 63 ya eneo la Gaza.
Walicheza kete mbaya sana.Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.
Swali: Nani aliwapa Hamas ushauri wa kuishambulia Israeli?. Leo wamepoyeza udhibiti