ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 4,452
- 11,367
Sasa hivi tena wayahudi sio wateule tena?Vita yoyote ile wanajeshi lazima wafe! Hiyo ya wateule umeweka wewe sasa..
Sasa hivi tena wayahudi sio wateule tena?Vita yoyote ile wanajeshi lazima wafe! Hiyo ya wateule umeweka wewe sasa..
Jipige kifua sema mimi ndeziHii habari umeitoa kwenye chanzo gani ewe mhamas wa tukuyu?
Hawa Wanamgambo wa Israeli wataisha maana wanachapwa shaba kama nyumbuAskari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la Jerusalem Post.
source: Hamas causes buildings collapse - 21 IDF soldiers dead, several injured
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hamas forces on Monday fired a rocket propelled grenade on multiple adjacent structures which, along with landmines which the IDF forces had collected and brought into the buildings, caused a total collapse, which in turn killed 21 soldiers and injured several others.
The incident occurred around 4:00 p.m. in al-Muasi in central Gaza.
In addition, a separate rocket propelled grenade was fired on an IDF tank which killed two IDF soldiers and injured two others.
It was unclear if the soldiers had violated procedures by bringing the landmines into the structures with them and also unclear how much the collapse of the building was caused by the RPG versus the secondary landmines explosions.
The IDF forces who were harmed were mostly reservists assigned to clear certain areas of dangerous items, such as mines.
Rescue activities went on for hours with the brigade commander having been on site from the start of the incident.
It was unclear what happened to the Hamas attackers.
The IDF released the names of 10 soldiers of the 21 that were killed.
Maj.-Gen. (res.) Matan Lazar, 32, from Haifa, a soldier from the IDF's 6261 Battalion, 261's Brigade.
Maj.-Gen. (res.) Hadar Kapeluk, 23, from Moshav Mevo Beitar, and was a Class Commander in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.
Sgt.-Maj. (res.) Sergey Gontmaher, 37, from Ramat Gan, who was a soldier in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.
Maj. (res.) Elkana Yehuda Sfez, 25, from Kiryat Arba, was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.
St.-Sgt. (res.) Yoval Lopez, 27, from the settlement Alon Shvut in the West Bank, a soldier in the 9206 Battalion, 205th Brigade.
Maj. (res.) Yoav Levi, 29, from the city Yehud-Monoson in central Israel, who was a soldier in Battalion 8208, 261st Brigade.
Maj. (res.) Nicholas Berger, 22, from Jerusalem, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.
Maj. (res.) Cydrick Garin, 23, from Tel Aviv-Yafo, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.
St.-Sgt. (res.) Rafael Elias Mosheyoff, 33, from the town Pardes Hanna-Karkur near Haifa, who was a soldier in the 6261 Battalion, 261st Brigade.
St.-Sgt. (res.) Barak Haim Ben Valid, 33, from Rishon Lezion, class commander in Battalion 6261, Brigade 261.
WanamgamboIsrael wana vituko sana yaani maj general ana miaka 23 hilo jeshi kaingia lini hayo mafunzo mpk kamaliza muda gani ndio maana wana chapika tu hawana uzoefu wowote
Inahusiana vipi na vita dhidi ya ugaidi?Sasa hivi tena wayahudi sio wateule tena?
Kwani gaidi Si huyo aliyetoka Ulaya akaja kuuwa watu na kuchukua ardhi zao ambao tunaambiwa eti ni wateule wa Mungu ,kwa hivyo wako free kufanya watakalo na ndio wanabandikana papuchi 😝😝😝😝Inahusiana vipi na vita dhidi ya ugaidi?
Ila Israel ina wanajeshi wazembe sana sijawahi kuona!Sasa hivi tena wayahudi sio wateule tena?