Kuna sehemu nimesema Kuna Cha ajabu? Rudi kasome nilichoandika ukielewe, inaonekana hujaelewa umekurupuka kureply tu!!!cha ajabu nini kama alikwenda kujifunza ukomando bahati mbaya akafia field?
Una maana gani ?Hebu kuweni wazalendo wa nchi yetu acheni kuhojihoji kijana kafaje katika mazingira yale ya vita. Kuna mambo haihitaji akili kubwa kuyaelewa kimedani
kama israel tunawa appreciate kwa mambo ya kimedani tukipeleka vijana wetu shule huko nje, ukute taifa hilo linaingia vitani, hao wanafunzi wa medani itabidi wainginzwe kwenye mafunzo ya kivitendo moja kwa moja kufa na kupona. Mafunzo kwa vitendo kwenye eneo halisi. Hujui kuwa angepona angefuzu mafunzo ya ukomando kwa faida ya nchi yako?Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Huo msoto ndiyo unaowapa vibeWayahudi wana laana kali sana, kuranda jangwani miaka 40 si mchezo
Na Justine Mtenga wa Rombo naye alikuwa mpiganaji wa IDF, dawa ya mafirauni wafuga majini ni Israel waendelee na kazi huko Gaza mpaka wasalimu amri. Mnatetea mauaji ya mtanzania mwenzenu!!! Mmelaaniwa wasaliti kutetea manwana zenu. Hata kama alikuwa askari hakuwa na silaha sheria kuhusu prisoners of war zipo wazi, walimuua kwa kuwa walimuona Mweusi hana thamani kwao kumteka.Tulisema humu yule dogo alikuwa mpiganaji upande wa IDF
Kama wewe ulivyo mpiganaji upande wa Hamas.Tulisema humu yule dogo alikuwa mpiganaji upande wa IDF
Asituzingue huyo alienda Kwa Mafunzo ya kijeshi,Hammas sio wapumbavu kiasi hicho.Kufuatia kifo Cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na Kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua!
Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia!
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae Kama raia wa kawaida ama ni mazingira Gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof!
Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili,wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka!
Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka!
View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
Kwanza ulishawah kufika Israel ukajua wanaishije Chief. Halafu unatakiwa kujua hilo eneo ni eneo hatar kijesh kuvaa bullets proof mbona kawaidaKufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.
Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.
Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.
Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.
View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
Kama tunakiri ni eneo hatari , iweje tupeleke kijana kujifunza kilimo eneo Hilo?Kwanza ulishawah kufika Israel ukajua wanaishije Chief. Halafu unatakiwa kujua hilo eneo ni eneo hatar kijesh kuvaa bullets proof mbona kawaida
Yale maeneo hatar Israel imeyageuza ni ardhi ya kilimo na sio mtz tu wapo watu wengi kutoka maeneo mengi hata hao wapalestina wenyewe wanaingiaga kufanya kaz na kuondoka. So kusoma kuna darasan na site. Na kwa taarifa yako Israel yenyewe wapo wahamiaji haram wengi tu kutoka Ethiopia Eritrea nk. Ukiwa unaambiwa kitu uwe unasoma vitabu tofauti au ukipata hela tembea utajua. Achana na elimu ya kulishwa ya madrasasKama tunakiri ni eneo hatari , iweje tupeleke kijana kujifunza kilimo eneo Hilo?
Sawa sawa na hii ya kumpeleka baba ake ni kwenda kupewa ukweli na urithi wa mtoto wake km mzazi ...itakua ndio jina alilojaza km mrithi ikitokea amekufa ni baba akeHuyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Si ndio maana kaenda baba kuchukua urithi wa mwanae na kupewa fact yotecha ajabu nini kama alikwenda kujifunza ukomando bahati mbaya akafia field?
Hebu acheni akili zenu hizo. Chupi za kijeshi ndiyo huwa zipoje hizo?Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!