Dawa yake amekipata alichokuwa anakitafuta akakarangizwe huko mototniKufuatia kifo Cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na Kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua!
Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia!
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae Kama raia wa kawaida ama ni mazingira Gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof!
Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili,wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka!
Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka!
View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
Nani mkuu😠😠Dawa yake amekipata alichokuwa anakitafuta akakarangizwe huko mototni
cha ajabu nini kama alikwenda kujifunza ukomando bahati mbaya akafia field?Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Kwani nyambizi gani anaongelewa hapoNani mkuu😠😠
we ni dini gani unaelaani israel?Wayahudi wana laana kali sana, kuranda jangwani miaka 40 si mchezo
unashadidia kifa cha mtanzania mwenzetuDawa yake amekipata alichokuwa anakitafuta akakarangizwe huko mototni
Ile clip ilionyesha kavaa hicho kifaa!?Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua!
wewe, unashadidia VIFO vya binadamu wenzetu???unashadidia kifa cha mtanzanh mwenzetu
unajuaje kama kuna vijana wengine wapo upande wa hamas wakijifunza medani?wewe, unashadidia VIFO vya binadamu wenzetu???
Unataka serikali ijitokeze kutolea maelezo, ukiona kimya jiongeze uchakate taarifa mwenyewe utapata jibuKinacho leta sinto fahamu ni serikali kutojitokeza kutolea ufafanuzi wa hili jambo wamekaa kimia sijui wana ficha nn hasa ambacho hatutakiwi kujua ,yaani maccm ni majitu ya hovyo sana.