Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Baada ya shambulio la AIBU na la kustukiza toka HAMAS kwenda Israel na kambi zake, sasa tunaona Israel akiamua kuwasha kiberiti kamji kadogo ka Gaza na kuonesha kuwa wameamua kuchukua maamuzi makali ili kila mmoja aingie hofu.
Lakini HAMAS walilitegemea hili, walio nyuma ya HAMAS walitaka kuipima Israel na tayar imeshaonekana kuwa ni dhaifu mno na sasa wanatia kiberiti gaza ambako kuna raia tu kuonesha umwamba wao na KUFICHA AIBU ya juzi.
HAMAS ni wanamgambo tu, Hezbollah pia ..Ni nini kimemstua mmarekani?? Mpaka akimbilie kumsaidia mwenye mojawapo ya silaha na majeshi bora kabisa ulimwenguni??
Jibu ni kuwa aibu na udhaifu wa Israel umeonekana na mfumo wa ulinzi wa makombora umeprove failure sasa Israel iko Vulnerable ina just 5 days so wanaogopa Powerful enemies wa Israel kama IRAN wanaweza kumzagamua hapohapo.
Russia anapambana na Ukraine inayosaidiwa na kila mtu zaidi ya mwaka na nusu sasa na maisha yanaendelea lakini myahudi siku 3 tu amepanic na kuvurugwa kabisa mpaka ameloose control na mipango[emoji16]
Hamas wamefunguka na kusema Israel ni mdhaifu kuliko tulivyoaminishwa.
Hamas allegedly only expected to make limited gains and take prisoners to exchange them for Arabs held in Israeli prisons, and was “surprised by this great collapse” of the IDF, Barakeh said, calling the Israeli army a “paper tiger.”