Hamaki za WAZINZI... KE na ME!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa heeeeeeeeeeeeeeee uwwwwwwwwwwwi!
 
kweli kabisa happo
 
mmmmmhhhhh!:confused2: :confused2: :confused2:!
 
Mmh sasa drake and chris brown unawaweka kundi gani
 
A bytch is defined by character more than sex/gender.

If you listened to the O.G Ice T in his prime you would have grasped the concept when he said "some of you niggas is bytches too".
 
Du ni kweli kabisa dada zetu wakifumiana wanachangia Bw mmoja ni mingumi tu
Lakini Wanaume ni furaha na sanasana ni kumuongezea misifa kibao!!!!!!!!!!
mara kamchezo anatoa
mara kiuno usiombee
Kweli wanaumme tunapendana
Lakini asiwe mkeo eti mchangie na jamaa???!!!!
 
Kama ni wife je?
Ukwaju ...Du ni kweli kabisa dada zetu wakifumiana wanachangia Bw mmoja ni mingumi tu
Lakini Wanaume ni furaha na sanasana ni kumuongezea misifa kibao!!!!!!!!!!
mara kamchezo anatoa
mara kiuno usiombee
Kweli wanaumme tunapendana
Lakini asiwe mkeo eti mchangie na jamaa???!!!!
 

Kwenye mke ni inshu nyingine!
 
TAARIFA


Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Costantine Massawe, tukio hilo limetokea mapema Novemba 11, 2012, majira ya saa 12 asubuhi wakati Bakari akiwa nyumbani kwake ambapo alivamiwa na Salehe Ibrahimu mwenye umri wa miaka 36, na kumjeruhi kichwani na kitu chenye ncha kali kisha kumkata kichwa.
Kamanda Massawe amesema kuwa, baada ya tukio hilo, Ibrahimu, amekamatwa na wananchi ambao wamesikia kelele za kuomba msaada kutoka kwa Bakari.
Jeshi la Polisi limemuhoji mtuhumiwa kwa ajili ya kubaini chanzo cha mauaji hayo na kugundua kuwa, ni wivu wa kimapenzi kwa kuwa walikuwa wanagombea mwanamke.​
 

Attachments

  • image.jpg
    5.8 KB · Views: 608
Enzi hakuna ukimwi wanaume hata watano ilikuwa haina noma kupinga mtungo aka mande demu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…