Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,694
- 164,964
Don't say that, CHADEMA was already facing a political hemorrhage,if not UKAWA we would have been saying different things right now. Sometimes you have to accept the reality, live with it and move on instead of being so adamant against the reality, you might end up losing.Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Is too late Kutamka hayo Kwa Maana Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea UKAWA na sio CHADEMA.
Don't say that, CHADEMA was already facing a political hemorrhage,if not UKAWA we would have been saying different things right now. Sometimes you have to accept the reality, live with it and move on instead of being so adamant against the reality, you might end up losing.
kweli mtu yoyote tabia yake na fikra zake nzuri zinaonekana wakati wa hali ngumu anayopitia.
ninaanza kuamini hata uraisi hafai kabisa!!!
nimetegemea hekima nzuri kwa zito nyakati hizi lakini sasa!!!!!!
Sidhani kama hii ni kauli ya Zitto.. Kama kweli ameitoa hii kauli nina mashaka na akili yake.
Hakuna mtu wa kuweza kukizidi Chama/ Taasisi.....
Hayo maneno kayasema Hamad Rashid sio Zitto. Mtoa mada kua makini.
.... Yuko Sahihi Kusema Hivyo Kwasababu Siyo Wote Wanaomchukia Ndani Ya Chama
Hayo maneno kayasema Hamad Rashid sio Zitto. Mtoa mada kua makini.