Hamad Rashid ni kiongozi aliyefilisika sn kisiasa, amekwisha kabisa, ame-expire, jimboni kwake hata wale ndugu zake damu 1 wanamlaani, alikuwa kiongozi mwenye heshima ya kumrithi maalim seif lakin amechemka na kudharaulika sana.
Ni mtu aliyekosa dira hana mbele wala nyuma, pale kwao Mgogoni Ditia Wawi alitoa milioni 10 watu wamuunge mkono chama chake cha ADC watu walizichngamkia ghafla ikapachikwa bendera ya ADC, siku ya 2 alipopanda ndege kurudi Dar es salaam na dodoma bendera ilipachuliwa na wale wale wafuasi wake wakarejesha ya CUF hadi leo kwenye maskani ya Msikiti kibegi.
Saivi tunaskia anataka kugombea urais jimbo la Tanga.