Hamad Rashid na Yusuph Manji siri kubwa

Kampuni ya manji ni mycell mpaka sasa ipo kwenye makaratasi yapo alishapata go ahead TCRA
 
Manji ni fisadi tu kama mafisadi wengine.

hivi sijui lini atajenga uwanja pale jangwani maana naona siku zinazidi kwenda tu, mbaya zaidi uwanja wa jangwani unakua vumbi badala ya nyasi.
 
Niko kwenye Ofisi moja ya Serikali hapa Posta kuna jamaa anatoa stori kuwa Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid na Mfanyabiashara mwenye kashfa lukuki Yusuph Manji wako mbioni kuanzisha kampuni ya Simu za mkononi ya Talk-tel. Jamaa anaeleza kuwa hata kwenye Kampuni ya Zantel Bw. Manji ana shares nyingi kuliko mtu yeyote.

Jamaa huyo ametoa taarifa nyingine iliyonishtua kwamba, Spika wa Bunge Anne Makinda ni makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!

I have no comment, any one with exclusive details on this.

talktel ni kampuni ya mfukoni ya mawasiliano ya black americans fulani.Kwa muda mrefu walikuwa wakitafuta mwekezaji ili waweze ku implent idea yao.Inawezekana wamekutana na Manji na wameamua kushirikiana.Talktel walishawahi kuwa na ofisi Quality Plaza miaka ya nyuma.
 
hakuna shida mtu kuanzisha kampuni........

......Katika nchi ambazo wananchi wake tunaibiwa sana sana sana kwenye mawasiliano Tanzania ni mojawapo.....halfu kinachoudhi zaidi....pamoja na kuibiwa kote huko bado service ni extremely POOR......kuanzia customer service mpaka quality ya mawasiliano.......

kinachoudhi tena zaidi.....tuna Professor na January.......ambao tegemeo lilikuwa wangeshughulikia wizi huu wa haya makampuni naona wao wameshapewa mgawo wao...wanaendeleza business as usual.......hopeless kabisa........kwa pesa anayotengeneza Lowassa kupitia makampuni ya simu sijui ni nani atamsimamisha kwenye kinyang'anyiro cha Urais......na watu mnashuhudia jinsi anavyopewa heshima za kipekee na publicity kokote kule anakokwenda.......

....Poor Tanzania!
 
Tatizo watanzania mmezidi wivu na majungu,ni uwendawazimu kufikiri kuwa umaskini ni uadilifu,hamfanyi kazi kutwa kulalamika,watu msione wanatajirika hawalali wanakituma,kazi kujisifu Tina ardhi,Mito,wanyama,dhahabu,fanyeni kazi -------,Kuna ubaya gani manji ya hamadi Rashidi kufungua kampuni unakua mnaboa sana?eti ukiwa Tajiri,sio muadilifu huu ni upumbavu ambao unaliangamiza taifa
 
Manji ni fisadi tu kama mafisadi wengine.

hivi sijui lini atajenga uwanja pale jangwani maana naona siku zinazidi kwenda tu, mbaya zaidi uwanja wa jangwani unakua vumbi badala ya nyasi.

ndio shida ya watanzania mnataka mfanyiwe -------
 
Kutokana na system iliyopo uwezi kuingia kwenye chama chochote ukaja na msimamo wako tofauti ulioukuta au usioendana na chama, na ndiyo maana hao uliowataja hapo kina January na huyo Professor hawawezi kufanya jipya, maana mfumo unawahukumu.

Never change closed system, until u blink it first.

Back
Top Bottom