Hamad Rashid na chama kipya

Hamad Rashid na chama kipya

anatapa tapa huyu...kwisha habari yake...kama angetaka kupata walau wanachama 10 kule kwao tu Wawi asingelihamsha familia yake yote na kuhamia Tanganyika...hajitambuwi Hamadi Rashid ...mpeni pole!
Kifupi Wewe ndio utakua hujitambui kabisaaaaaa!! Vipi hukuona mkutano wake JIMBONI WAWI alipoenda baada ya SULTANI na kina Juha kumpiga madongo sana kwamba hawezi kwenda? Vp runinga huna yani hata kwa jirani hutizami?
 
Achukue kadi ya magamba tu, na sidhani kama aliwahi kuirudisha.
Kujiunga na Magamba siku hizi lazima uhakikishe umeaga kwenu na Wakupe Anti-dot(Dawa ya kuzuia sumu) unywe. Vinginevyo lazima wakupeleke kuzimu na haswa ukionyesha unampinga Mzee wa Harambee.
 
Nadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!
SIKU hr akipokelewa cdm na slaa narudisha kadi ya cdm naenda kuchukua ya cuf
hr+jussa wana akili matope sana
 
Angefanya la maana sana kama angeenda CHADEMA. Angeipa nguvu sana CHADEMA visiwani. Na huenda wangempa uongozi ili aweze kugombea uraisi wa Zanzibar mwaka 2015. Kila la Kheri mpiganaji Hamad Rashid.

akili mgando hizo

hr hana nafasi cdm. hatuitaji kupokea mwehu ili kuwa na wafuasi zenji.
 
Nadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!

Nimecheka eti Pinda B
 
Mkuu nadhani Hamad hang'ang'anii CUF anang'ang'ania UBUNGE! Akitoswa tu na Ubunge hana. Anavuta muda tu huko mahakamani.
Usipende kudhania mambo, MHE. HAMAD r. Moh'd Ni mtu wa principal, hawezi kuyumbishwa na akili nyepesi Kama hizi za kwako na zakina Jusa na Mtatiro, Huo Ubunge unaozungumzia hapa sio sababu ya yeye kung'ang'ana na cuf ilhali kwa kupitia yeye chama lishajifia. Nijuavyo Ni kwamba kuna kesi ya msingi mahakama kuu inayomzuia kufanya shughuli za kisiasa especially zinazohusu suala zima la kesi husika na AMA kujihusisha kwny uundaji wa chama cha kisiasa hivyo hawezi kuvunja amri ya mahakamA Kama wale kina Juha ooh sore jus...Ana maamuzi thabiti na alikwishasema yeye sio Malaya wa kisiasa na endapo atashindwa kesi na kuvuliwa uanachama (jambo ambalo haliwezi kutokea kutoka a na maamuzi ya kisultani na ujuha uliopitiliza wa viongozi husika wa chama-ya kumtimua of coz)
 
Usipende kudhania mambo, MHE. HAMAD r. Moh'd Ni mtu wa principal, hawezi kuyumbishwa na akili nyepesi Kama hizi za kwako na zakina Jusa na Mtatiro, Huo Ubunge unaozungumzia hapa sio sababu ya yeye kung'ang'ana na cuf ilhali kwa kupitia yeye chama lishajifia. Nijuavyo Ni kwamba kuna kesi ya msingi mahakama kuu inayomzuia kufanya shughuli za kisiasa especially zinazohusu suala zima la kesi husika na AMA kujihusisha kwny uundaji wa chama cha kisiasa hivyo hawezi kuvunja amri ya mahakamA Kama wale kina Juha ooh sore jus...Ana maamuzi thabiti na alikwishasema yeye sio Malaya wa kisiasa na endapo atashindwa kesi na kuvuliwa uanachama (jambo ambalo haliwezi kutokea kutoka a na maamuzi ya kisultani na ujuha uliopitiliza wa viongozi husika wa chama-ya kumtimua of coz) ataanzisha chama kipya.
 
Kuna Mzungu aliniambia, Ukifikisha miaka 40 Ukaanzisha biashara, Lazima Itafilisika - JK.

Out of topic.....ila Amiliki hii imenimaliza! Ni JK yupi huyu! Sijui ni mzungu yupi kamwambia haya! :lol: Na vile kaambiwa na mzungu akaona ashirikishe wenzie...Lazima mzungu alishtuka ana mpango wa Kuanzisha kilimo kwanza kuleeeee kisarawe nae anaitaka ile ardhi
 
ataangukia pua tu huyu,huku si zanzibar,ngoja amalize hela zake kwanza,
 
Usipende kudhania mambo, MHE. HAMAD r. Moh'd Ni mtu wa principal, hawezi kuyumbishwa na akili nyepesi Kama hizi za kwako na zakina Jusa na Mtatiro, Huo Ubunge unaozungumzia hapa sio sababu ya yeye kung'ang'ana na cuf ilhali kwa kupitia yeye chama lishajifia. Nijuavyo Ni kwamba kuna kesi ya msingi mahakama kuu inayomzuia kufanya shughuli za kisiasa especially zinazohusu suala zima la kesi husika na AMA kujihusisha kwny uundaji wa chama cha kisiasa hivyo hawezi kuvunja amri ya mahakamA Kama wale kina Juha ooh sore jus...Ana maamuzi thabiti na alikwishasema yeye sio Malaya wa kisiasa na endapo atashindwa kesi na kuvuliwa uanachama (jambo ambalo haliwezi kutokea kutoka a na maamuzi ya kisultani na ujuha uliopitiliza wa viongozi husika wa chama-ya kumtimua of coz)

Hivi wewe HR umechanganyikiwa kiasi hicho? Ni haya maswala ya siasa tu au kuna mtu kakuroga? kesi umefungua wewe halafu unasema kuna kesi mahakamani ndio inakuzuia kutoka CUF? Wewe ni chizi? kwanini usinede futa kesi, kubali kufukuzwa, samehe ubunge, JENGA CHAMA CHAKO! hiyo ni ngumu?
 
Haki itapatikana hata kwa mtutu dogo!Na huo uhamad rashid unaonislimisha nao umetokea wapi?! Nijuavyo mimi mheshimiwa sana Yule anasimama kwenye haki, lazima CUF waumbuke kwanza kwa ulimbukeni wao(JELA) wa kutojua Sheria Kama si kupuuza kwani katika kikao kile cha kutimuana alikuwepo hadi Waziri wa Sheria wa Zanzibar (MHE. Abubakar-cuf) kichekesho still wakashindwa kuheshimu maamuzi ya mahakama sasa Sijui huo Uwaziri kapewa vp.
 
Sana sana kitagawa kura za CUF kule Visiwani, huku bara kitakuwa na wanachama ambao hata hivyo sio wapya zaidi ya wale walioondoka CUF, so impact yake ni ndogo kwa percentage ya wapigakura wa Bara. CUF wakipungukiwa idadi ya wabunge hata watatu hivi, itaifanya CCM au CDM kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuunda kambi rasmi ya upinzani so kuzidi kuipotezea CUF. Kwa hiyo, ujio wa Chama Cha Hamad (CCH) utaiathiri zaidi CUF kuliko chama kingine
 
I hope hiki chama hakitakuwa na Ofisi Misikitini tena kama kule "Mtaa wa Saba" alikohama.

Dhambi hii Ni moja KATI ya sababu zinazomuondoa pale hivyo hakika Kama Ni kweli ataanzisha chama basi udini na Ukabila itakuwa Ni kitu cha mwisho kabisa ktk chama hicho. Ameshiriki katika kuunda cuf kwa nini sasa akibomoa? Ni kwa sababu viongozi wake wameshindwa kusimamia miiko ya uongozi, hvyo kwa ufupi hawastahiki kuwepo madarakani.
 
Wanasiasa wa bongo (upinzani) wengine ni bure kabisa, utafikiri hawajui kiini cha matatizo tuliyonayo. Mtu akijiona anakubalika kidogo basi anafikiri ni Tz nzima. Badala ya kuunganisha nguvu ndo wanazidi kujitenga. Ngoja, kuna wengine tutawachapa viboko, wallah abilai.
 
Mtatiro amechagua kuheshimu tumbo kuliko dhamira yake.Jmos last wiki nimekuta pale Malt park Rozana ameshindwa hata kuniangalia usoni.Amejaa aibu kama mwali aliyetolewa leo!,nafsi yake inamsuta kwa kuchagua kuganga nja na kusaliti mageuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom