Bablii
Senior Member
- Apr 19, 2008
- 109
- 17
I hope hiki chama hakitakuwa na Ofisi Misikitini tena kama kule "Mtaa wa Saba" alikohama.
....au ofisi KANISANI kama huu "mtaa wa pili unao mshabikia"
I hope hiki chama hakitakuwa na Ofisi Misikitini tena kama kule "Mtaa wa Saba" alikohama.
cck,,chusta,aifa cuf,pptmandeleo,dp hamadi rashid political party,kafulila political party n.k hivi vyama vyakufutilia mbali havina tija kwa taifa kwa sasa
hasan124, mbona unakuwa mkali sana mkuu, inakuwaje leo CUF imekuwa mbaya, kimekuwa chama kisicho na demokrasia? Ni baada ya kutaka uongozi ndani ya chama?
When did you guys reaalise that CUF hakifai?