Dickson Ng'hily
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 451
- 485
chadema mbona melala?twendeni tukaichukue zanzibari ile
Tunajiandaa Mkuu
chadema mbona melala?twendeni tukaichukue zanzibari ile
chadema mbona melala?twendeni tukaichukue zanzibari ile
CUF wanavuna walichopanda. Kwamba CUF kiliingia chumba cha wagonjwa mahututi pale ilipofunga ndoa na CCM.
naona mnataka kurejesha utawala wa kisulutani sasaWatu munatakiwa kujua kua zanzibar ya sasa hatuhitaji sana vyama vya siasa tunahitaji maendeleo zaidi.

Kule zeji watu wameshashituka sasa na nyinyi Tanganyika mkikua mutatuelewa na huenda mukafuta hizo njia tutakazopita.

Nasema haya kwakujiamini kwani kila nikiiangalia Tanganyika naiona zanzibar yazamani imehamia huko(wanasiasa kupigana,viongozi kuzomewa,wafuasi wa vyama vyaupinzani kusweka ndani bila ya kesi,maandamano yasioisha,risasi nje nje polisi kuwapiga raia n,k) Hivyo ndivyo ilivyokua zanzibar ya 1995-2005.

Kwasasa hatujajuta bado na tunatamaa kubwa ya maendeleo ya wananchi na sio ya vyama,huenda sikuza mbele vyama vikakosa soko Zanzibar.
Al tatur munafik