Hakuna anayemkataza asitoe maoni yake. Elewa.Ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake..au mnadhani nyinyi ndo mnahaki miliki yakutoa mawazo yenu??
Yeye mzanzibar anasema hivyo maana wao tayari wanaserekali yao sasa na sisi tunaitaka TANGANYIKA YETU no way. Huyo Hamad hajui sera ya chama chake?
Hivi kwanini tusitengane tuu
Wazazibar walishatishia sana wanataka Serikali yao hawataki MUUNGANO
Naomba huyu Mwneyekiti KIFICHO ndio awe Spika
na ili kiongezwe kipengele cha KUTENGANA
hakuna cha
Russia ilishatengana
- Serikali 3
- Serikali 2
- Serikali 1
- Tuuvunje Muungano
Yugoslavia
Ujerumani
Korea
leo Tanganyika na Zanzibar miaka 50 inatosha tujiunge na Rwanda au Burundi au Malawi
Haiwezekani kila mmoja akae kivyake maana ni kunyonyana kusiko na maana POSHO POSHO , vyeo UBUNGE UWAZIRI nk
Mbunge wa mahakama nae aseme nini?
Watu wote wenye akili ya kuweza kupata A+ watakuja na jibu kama lako, na wale wanaoweza kujikongoja na kupata D ndio mashabiki wakuu wa serikali mbili. Wa serikali tatu ndio wamo katikati ya hizi marks mbili. Mwenye akili na aelewe tuliposimama!
Hawapo Dodoma kwa minajili ya katiba! la hasha, wapo Dodoma wakiwa na fomu za kugawana madaraka na nafasi za ubalozi baasi. Vifungu hivyo vikipitisha in their favor wapo tayari bunge liahirishwe.Wazanzibar wanachekesha!
Wao tayari wana serikali yao,
i wapi Tanganyika yetu?
Typing error hiyo.....
Hivi nyie mbona hamueleweki? Uchaguzi wa udiwani mmeangukia pua Leo mmnaidaka hoja ya serikali tatu vipi nyie?
Mtaweza? Chama kimebomoka mnapumulia MASHINE halafu mnataka makubwa mtayapata wapi?
poor CDM
Hivi ukitaka serikali 3 ni lazima uwe CDM, kama ni hivyo CDM inatuwakilisha watanganyika wengi sana tuliochoka kero,malalamiko na masimango ya Wazanzibar, tunao wabeba lkn hawabebeki.