akili yake imechoka kufikiri kabisa, hizo kero za muungano anazodai zitatuliwe, ni miaka mingi imepita zimeshindikana kutatuliwa ila zinaongezeka, huko ni kuchoka kufikiriKatika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
wewe ni Mzanzibari unayeishi DODOMA?
TataMadiba nyie ndiyo msiotutaka kwa sababu zenu mnazozijua, hivyo nyie ndiyo mnaopaswa KUJITENGA. Mmpendikiza CHUKI juu yetu bila ya sababu, sasa CHUKI hii na DHAMBI ya UBAGUZI haita waacha salama. Leo mnatuhukumu kwa majina yetu ndani ya nchi yetu, mkimaliza hapo mtaanza kujitafuta na nyinyi mliyotenda DHAMBI hii.Tangazeni Kaskazini yenu, LYIMO mbona mnatupotezea muda?
Tatizo mnafikiri Serikali 3 hazitakuwa na Kero! EAC yenye Serikali 5 tayari kuna kero za kufa mtu!
Uko kwenye Muungano wa Tanganyika na Zanzibar! Ni afadhali Shetani unayemjua kuliko Malaika usiyemjua!
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
ikishindika 2 tutarudi 1 na siyo ku-jump kwenda3
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
kama 3 haifai bac usiwepo kabisa tanganyika isimame yenyewe na zanzbar kivyake tuungane kma east africa bcWazanzibar walikua wanabeep kwa fujo sasa tunawapigia hawataki kupokea...serikali 3 ndo tunayoitaka
Ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake..au mnadhani nyinyi ndo mnahaki miliki yakutoa mawazo yenu??
Njeru Kasaka na G55 wote walitoka Kaskazini!?Sifa za wale wa serikali tatu:
1. Awe mfuasi na mwanachama wa CHADEMA
2. Awe anatoka kaskazini
3. Awe anapenda Madaraka