Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

Mkuu
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.

Mbona habari hizi kinyume na taarifa ya saa 2 Azam tv. Anasema wamekubaliana kurudiwa uchaguzi.
 
malipo ni hapa hapa duniani
Kwa chama ambacho ni kama kilabu ya chandimu sidhani kuna cha kujuta ,hicho nacho chama,walidhani wangepata mtaji kwa kumtumia mgombea wao,ADC ni kama kijiwe cha kahawa tu.
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
kawa sawasawa na Chibuda
 
Wampokee tu maccm 'wenzie' ambao walimpa special task huko upinzani, wakidhani kuwa kutokana na yeye kuwa mpemba ataweza kupunguza kura za Maalim Seif.

CCM wenyewe walijionea jinsi walivyobugi step 'kumsponsor' mtu kwa hiyo 'special task' ambaye aliambulia kura zisizozidi asilimia 0.001!

Hiko alichokipata huko ADC ndiyo zawadi inayomstahili mtu msaliti.
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Hajavuliwa chochote na jana ameendesha kikao na ameonekana kwenye tv utamvua uanachama kwenye chama abacho ni mali yake
 
Akuna msaliti aliyeishi sehemu kwa amani ataenda kwa wasaliti wenzake alitumika na nguvu zake za siasa ndio zimeisha

Kwisha Kwisha Kwisha Kabisa, Nyanga Nyanga Ndembe Ndembe Mlalo wa Chali Kifo Cha Mende.
 
Back
Top Bottom