HAMAD RASHID apita bila ya kupingwa

HAMAD RASHID apita bila ya kupingwa

charityboy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
138
Reaction score
4
Hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe Hamad Rashid amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge. Chadema wamkubali na Mhe Shibuda ajitoa na kumuachia.
 
PHP:

Yaashiria nini....umuhimu wa hiyo kamati nini kwa walalahoi?............................hiyo si ni ile kamati ya kulinda makulaji ya wabunge??????
 
Shibuda apita bila kupingwa kama muwakilishili wa APRA. Kisha mbunge mmoja alete ngonjera zake tena.
 
..Chadema wamekuwa wajanja hapo.

..CCM na CUF wangeungana dhidi ya mgombea wa Chadema.

..this was not a battle worth fighting.
 
hii ilishapangika kabla hata hawajaingia bungeni...Hamad Rashid apate kamisheni ya utumishi wa bunge na Shibuda apate APRA ... sasa mleta mada amecharuka anaona ni breaking News
 
hii ilishapangika kabla hata hawajaingia bungeni...Hamad Rashid apate kamisheni ya utumishi wa bunge na Shibuda apate APRA ... sasa mleta mada amecharuka anaona ni breaking News

Ilipangwa wapi na lini? siku chadema wanaongea na CUF? (wameshakubali kuoana??)
 
..sasa viongozi wenu wameyamaliza bungeni nyinyi mnaendeleza malumbano yasiyo na msingi.

..this is just too low. moderator hebu pitisha mikasi hapa.
 
Hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe Hamad Rashid amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge. Chadema wamkubali na Mhe Shibuda ajitoa na kumuachia.

Siamini hii habari ni ya kweli? CDM hawajatoka nje...........? lol natania tu jamani mziniporomoshee mawe....
 
hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe <font color="red">hamad rashid amepita bila ya kupingwa</font> katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge. Chadema wamkubali na mhe shibuda ajitoa na kumuachia.

Ni kweli na CHADEMA tunawakilishwa na Mh.Mbowe.
 
Sihasa........tumeshawapa kula Hao wakubwa sasa tuwaacha wale mkate kwa asali,janja zao kwa mtu aliefunuliwa atajua hakuna a lie safi ila ni mradi,na miaka mitano watarudi ten a nakelel zakutosha,tsht,kofia kanga nk.......wakupigwa mabom watapigwa,watasonga mbele...wao watakaa nyuma
 
Ndo nini hii

Haina maana yoyote -- siyo katika zile kamati tatu nyeti zilizogombewa last week.

Hamadi Rashidi mtu mnafiki wa kupindukia. Kwanza nadhani wengi wenu hamna habari kwamba Makinda alimtosa huyu Hamadi Rashidi ambaye ukweli ni kwamba harakati zake zote za hujuma dhidi ya Chadema kumbe alikuwa anaimezea ile kamati ya Mashirika ya Umma -- POC, ile aliyopata Zitto.

Alikuwa amepeleka maombi kwa Spika kuwamo katika kamati hiyo ili baadaye agombee uenyekiti. Badala yake Makinda akampeleka katika ile nyingine aliyopata.

Hamadi Rashidi ni mtu mwenye uchu sana wa madaraka!

Kwa hilo nampongeza Spika.

Kwa watakaouliza source yangu ni swahiba wangu aliyepo katika ofisi ya Spika ambaye alinihakikishia aliiona Fomu ya Hamadi kuomba kuwa katika POC.
Na hili sasa hivi litalipuka katika magazeti.
 
Back
Top Bottom