Sixpack 44
Member
- May 4, 2017
- 33
- 26
Hawa wanakukopesha kwa lazima..pindi wanaona umeishiwa salio alafu wanakaaa wee wanakusahaulisha siku ya siku wanakufyeka!Yani ni kama ile lifti ya lazima walotoa maafande wa arusha kwa waandishi wa habari
Hizo simu za kutumia na wenza wenu ndio matatizo,unamuachia mwanamke wako simu anakopa anapiga simu zake,wewe unabakia kutoa povu.Nenda customer services watakuonesha siku na saa uliokopaNi Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.
SMS zao ni hizo ;
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Uliwafikishia malalamiko na hawajayashughulikia?Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.
SMS zao ni hizo ;
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Hakuna Mimi ndiye ninayetumia simu Yangu no one else. Na huo muda natafua nini wakati nimeshalala na simu imezimwa?Hizo simu za kutumia na wenza wenu ndio matatizo,unamuachia mwanamke wako simu anakopa anapiga simu zake,wewe unabakia kutoa povu.Nenda customer services watakuonesha siku na saa uliokopa
Pole mkuu. Wacheck ofisini kwao.Nimewapigia kupitia customer's care inasumbua kinoma hakuna connection. Nimewatumia email inagoma kusent
Huu ndo tunaita wizi wenyewe kwa nn unikopeshe wakati sijaomba unikopeshe?itakua uliwai kukopa au kuomba mkopo wa muda wa maongezi maana halotel unapoomba mkopa wanakuunganisha moja kwa moja yani kila unapoishiwa salio na huku ukiwa hauna deni basi wao wanakukopesha automatic,
Kabla ya hata ya kesi walishaanza huu upuuzi waoWanakusanya fedha wana kesi, unakumbuka kuna viongozi wao wanatakiwa kulipa fine ya shs mil 700 mahakamani - Kisutu: Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel afikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi
Mmm hawana hasara itafungwa iludishwe upya huwez kushindana na kampuni,ludi vodaHawa wezi bado wapo ? Line yao ninaihesabia siku kuna siku wataikuta barabarani imekatwa.
Wanaiba sana halafu hamna hatua wanachukuliwa.Niliwahama sbb ya huo wiziwizi wao.
Airtel kuna kauahuweni,