Hata mi naonaWanakusanya zile milioni 700 za faini
Hata mi sipingi sasa subiri wakuzingueHalotel Ni mtandao ulio bora kuliko yote Tanzania ( according to me)
Mkuu makosa yapo , hata mimi au wewe katika maisha yetu ya kawaida huwa tunafanya makosa either kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Sasa siwez nika judge halotel ni wabovu kwa kosa la siku moja au siku 2, wakati ki ukweli tangu nimeanza kutumia mtandao wao, hawajawahi kuniangusha.Hata mi sipingi sasa subiri wakuzingue
Wananizingua karibia Mara ya tano sasa. Na hii ni business huwezi kusema utafanya makosa in business hata halafu reputation yako ibaki vilevile ni ngumu sanaMkuu makosa yapo , hata mimi au wewe katika maisha yetu ya kawaida huwa tunafanya makosa either kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Sasa siwez nika judge halotel ni wabovu kwa kosa la siku moja au siku 2, wakati ki ukweli tangu nimeanza kutumia mtandao wao, hawajawahi kuniangusha.
Kama ni hivyo pole sana, una haki ya kulalamikaWananizingua karibia Mara ya tano sasa. Na hii ni business huwezi kusema utafanya makosa in business hata halafu reputation yako ibaki vilevile ni ngumu sana
Sijawahi kukopa wala kusikiliza maupuuzi yoyote na mwezi wa 1 na 2 nilikuwa nanunua kifurushi cha mwezi.Kuna siku nami ilinitokea hivyo nikawapigia na kukuta ni kweli niliwahi kukopa bila kujijua. unaweza kuwa unachezea simu na kujikuta umekopa au kwa kusikiliza maelezo na wewe kufinya na kujikuta umekopa. tatizo lao hawakati kwa mara moja