Halotel wana network ya 4g??

Nahisi Halotel wao wenyewe wakiona band ya 4G yao haiko compitable na vifaa vingi wata upgrade au kuongezea band nyingine...!
 
Halotel 4G hapa Bukoba inaonyesha band inayotumika ni B1 2100MHZ vipi wanaweza kutumia band tofauti kulingana na location.Kwenye router imekataa lakini kwenye simu naipata vizuri.
 
Inawezekana kuwa na band zaidi ya moja mkuu, Tigo na TTCL Wana bands mbili.




Tabata Matumbi hiyo Barabarani kabisa hapa Mandela rd.
Hii 4g ina ukakasi kwakweli maana simu nimeiweka auto alafu kitukinasoma 4g mda wote tena signal zinajaa full but speed kichekesbo.
 
Halotel 4G ni pasua kichwa nimejaribu simu mbili imegoma (IPhone 6s Plus ,One plus )
 
Halotel 4G ni pasua kichwa nimejaribu simu mbili imegoma (IPhone 6s Plus ,One plus )
4G bands za IPhone 6s,,,, Alafu hiyo OnePlus ndo sim gan?
Maana najua zipo models nyingi mkuu za OnePlus...
 
Kibukila ,CHIEF MKWAWA hizi takwimu za speed test nitajuaje eneo langu internet ni kubwa sana yaani nielewesheni maximum ni ipi na minimum ni ipi maana mimi sio mtaalamu wa juu wa utambuzi wa internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…