Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,904
Hao ttcl wana simcards mkuu?
Kwa Dar Halotel hawajawahi kufanya vizuri hata kwa sekunde kadhaa tu, hovyo kabisa.
Wanaishia kuweka internet nzuri maeneo ambayo matumizi yake ni watu kudownload nyimbo kwenye simu tu badala ya kutajeti maeneo yenye matumizi makubwa.
Huyu mtu wao wa masoko sijui anafikiri nini.
wewe ndio hovyo, umejuaje kama maeneo waliolenga ni ili watu wapakue nyimbo? hapo dar kuna mitanadao mingi sana ambayo sehemu nying za nchi hawana kw nini usihamie huko unatokwa na povu lisilo na sababu zozote? absurd!