Halotel wameishiwa Pumzi kwenye internet

Jadi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
1,494
Reaction score
864
Jamani nisaidieni kuhusu internet ya Halotel, sio siri inaboa mno hapa Dar, yawezekana huko porini wako njema ila Dar inaboaaa. Nadhani wameishiwa pumzi tayari, please rekebisheni kabla hatujatupa simcards zenu
 
Kapake grisi simu yako itakuwa vyuma vimekaza humo ndani
 
Jamani nisaidieni kuhusu internet ya Halotel, sio siri inaboa mno hapa Dar, yawezekana huko porini wako njema ila Dar inaboaaa. Nadhani wameishiwa pumzi tayari, please rekebisheni kabla hatujatupa simcards zenu
Labda unaishi Kibaigwa hapa Jiji la Ar nawala sio porini tulishatupa hizo line
 
Jamani nisaidieni kuhusu internet ya Halotel, sio siri inaboa mno hapa Dar, yawezekana huko porini wako njema ila Dar inaboaaa. Nadhani wameishiwa pumzi tayari, please rekebisheni kabla hatujatupa simcards zenu
Hiyo "Polini" inapatikana mkoa gani?
 
Hili nalikubali last wiki nliweka mb ili nidownload movie yani hiyo speed ya kobe nikashangaa wakat zamani haikuwa hivyo
 
Dodoma eneo ninaloishi inazingua sana, tigo iko vizuri sana.
 
Natumia ttcl mwka wa pili huu
Hao ttcl wana simcards mkuu?

Kwa Dar Halotel hawajawahi kufanya vizuri hata kwa sekunde kadhaa tu, hovyo kabisa.
Wanaishia kuweka internet nzuri maeneo ambayo matumizi yake ni watu kudownload nyimbo kwenye simu tu badala ya kutajeti maeneo yenye matumizi makubwa.

Huyu mtu wao wa masoko sijui anafikiri nini.
 
Mimi nishaachana nao hao jamaa muda mrefu sana.Niko na chama la wana VODACOM, wako vizuri sana.
 
Back
Top Bottom