Halotel waja kivingine

Niliwahi kuwajaribu lakini speed ya internet ikiwa ndogo mno kiasi kwamba niliichukulia kama kiro.
Sasa sijajua kama ni eneo nililokua au ni mtandao wenyewe.
.
Na vipi kuhusu line kusajili si ni mpaka upeleke dole gumba ofisini kwao?
dole gumba ni kuanzia mwezi ujao bosi
 
Imekaa vizuri
 
Halotel kuna muda unaweza kuhisi ni scam
 
Net ipo slow sana ila kwa kuwa kuna GB kibao tunabembeleza hivyohivyo hakuna namna
 
Hivi ile 4g coming soon ambao vijana wa Halotel walikuwa wanavaa kwenye T sheti, imefia wapi?
 
Tangu tigo wapunguze zile gb 4 kifurushi cha usiku nilikua natafuta mbadala ngoja niwajaribu hao halotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…