Halotel Tanzania: Special Thread

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Kampuni ya Halotel Tanzania imeanza vema. Karibuni kwa maswali hoja kero ilituweze kujulishana kupashana hili na lile. Internet Complaint hapa utaelekezwa nini cha kufanya. Usisite kuuliza swali kero na admin watakusaidia.

Karibuni Sana
 
Nilipokua moshi mjini pale stand mbona internet ilikua slow sana?? Au mmepiga deal tayari???

Na kuna tetesi kwamba ma injinia wenu mnawabana kweli kweli hamuwapi mishahara mizuri
 
Mwaka wa jana nilinunua line yenu ya simu, niliitumia lakini baada ya muda nilisitisha kuitumia kutokana na kukerwa na baadhi ya huduma zenu. Mwaka huu kuna siku nilienda kuitoa kwenye tranka ili niitumie lakini haikusoma mtandao. Je hua muna utaratibu wa kufungia line zisizo tumika? . Inachukua muda gani line isiyo tumika kufungwa?. Je kuna namna ya kufanya niweze kurejeshewa line(namba) yangu iliyofungiwa?.
 
Sim card yangu nimefungiwa haifanyi kazi. Na nikipiga namba ya huduma kwa wateja namba 100. Nikitaka kuongea na mhudumu simu inakatika, nimejaribu kutumia sim card nyingine nayo ni vivyo hivyo. Naombeni msaada wenu
Namba yangu ni 0621056835
 
wanaolalamika uslow wa halotel sijui watakuwa maeneo gani kwa shughuli niazotumia kwenye internet kwakupitia halotel wakifunga mtandao wao ujuwe nafunga offic
 
Kwisha habari yenu NA sasa mb zenu zinakata haraka ajabu mnakatika kila mda hivi j4nahamia nahamia zantel poleni

Even now ni 3g NA mnara hauna signal
 
Ndugu pole na kazi naomba nijulishe jambo,halotel waliwai kuniomba kuweka mnara sehemu Fulani iringa Je mnalipa shilingi ngapi kwa mwezi wale mafundi hadi Leo awajatoa nguzo yako nitawashitaki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom