Halotel Tanzania: Special Thread

Hawa wa Vietnam's walikuja na internet nzuri ila wana wivubsa kike sasa hivi ukiweka MB 600 dakika mbili hazipiti hata kama hupakuwi vitu mtandaoni (Mmekwisha kuanza siasa na nyie)?
Yaani utadhani unachota Maji Kwa kutumia tenga la nyanya hovyo sana hawa jamaa Halotwawalatel
 
Nawapongeza kwa ubunifu na kuwa karibu sana na wateja wenu, sijapata kuona mitandao mingine ikifanya yale mnayofanya,
 
wanaolalamika uslow wa halotel sijui watakuwa maeneo gani kwa shughuli niazotumia kwenye internet kwakupitia halotel wakifunga mtandao wao ujuwe nafunga offic
Kweli mkuu! Maana internet yao iko speed ile mbaya,na bando huwa halikai,line ya tigo nimeiweka banch,kwani hii ndo ipo slow sana kwenye internet hadi inaboa.
 
Swali:

Taasisi yangu ina computer 60 nahitaji kuunganisha kwenye mtandao (server 1, na PC 60) je nitaweza kuunganishwa kwenye huduma yenu?
 
Hawa wa Vietnam's walikuja na internet nzuri ila wana wivu wa kike sasa hivi ukiweka MB 600 dakika mbili hazipiti hata kama hupakuwi vitu mtandaoni (Mmekwisha kuanza siasa na nyie)?
Sasa cjui inachangiwa na speed yao kuwa kubwa au la! Nimenunua line yao kwa ajili ya internet tu.kwa sababu ipo vzuri mno,ila MB hazikai
 
Sasa cjui inachangiwa na speed yao kuwa kubwa au la! Nimenunua line yao kwa ajili ya internet tu.kwa sababu ipo vzuri mno,ila MB hazikai
Na mimi nilijua ni Speed ila baadae nimegundua ni wajinga tu wanakata makusudi.

Nilitoa 3G nikaweka 2G kwenye simu yangu ila kama sidownlod zitakaa siku mbili MB 600 nimegundua ni wezi tu hawana lolote.
 
mb za hallotel ni fake au hewa.wakikupa GB 1 ni sawa mb 350 za mitandao mingine.kidogo tu zimeisha.poor hallotel
 
Nyie Halotel MB 600 nahisi mmezichakachua maana hazikai kama ilivyo zamani.
 
Jamani halotel tuleteeni mnara huku Bulongwaaa makete vodaaa wapo lakini ni wauongoo
 
Wiki ya 2 sasa nilinunua vocha ya elfu 5 bahati mbaya wakati nakwangua nilifuta namba kama 2.

Nikipiga customer care 100 simu inaita tu haipokelewi na haipikelewi.

Mtuambie kama mmeshafunga ofisi zenu nihesabu maumivu.
 
Back
Top Bottom